Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

Kwa hiyo ilitakiwa awe anawalipa kila mwez aw?
Thinking yako kuwa kumpa mtu pesa ndio support?
Watu wakimpa
Kwa hiyo ilitakiwa awe anawalipa kila mwez aw?
Fikra zako ni kudhhani malipo ni pesa tu, you are wrong brother/sister!
Kwani unafikiri waliomchagua Lowasa, Magufuli au Mbowe, Maalim walitegemea malipo ya pesa?
Waulize wagombea wako hawakuwaaminisha wananchi na watu wao wa karibu kuwa kuna A, B,C etc ambavyo nitaboresha, kubuni au kuendeleza?
Je hakuwa na ahadi za kufanya pamoja nao?
Umeshawahi kushiriki uchaguzi wowote hata wa kiranja wa shule?
Je hujui kuwa voters na wapambe huwa nao wana agenda?
Hivi hujui sometimes people are forced by friends to participate kttk uchaguzi hoping kwamba aatayafanya Yale wanayoyaamini?
Sasa kama hakuyatekeleza kwanini watu wasiwee disappointed?
Kwanini watu wasilalamkiwe!
Kuna ambao wana invest pesa na mudaa hoping kuna payback time!
Kila mtu anahitaji malipo yake anapoinvest, wapo wanaotaka maendeleo ya umma, wapo wanaotaka kulipwa pesa, nothing more nothing less! Na hunaa haki yaa kumlaumu kwa kuwa aliinvest mwanzoni!
Hatuwezi kumsemea marehemu Ila kama palikuwa na deal lolote na Sugu hakulitimiza marehemu alikuwa na haki ya kulalamika! Na hatuna haja ya kumshangaa marehemu peke yake, tumshangae pia rafiki yake (sugu) ambaye hakutmiza ahadi yake kwa mtu aliyemsaidia!
 
Unaeza tuambia alimuahd nn na hakutekeleza?.. Hapa nnachoona ni personal attack kwa mh lakin hakuna mantiki hapa sugu ni binadamu kama binadamu wengine ss kama unamuangalia kwa jicho la kiungu upo wrong na ni upuuz.
 
QUOTE="mr gentleman, post: 15342059, member: 95717"]Kwanza kabisa natoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba wa msanii John Walker.
Pili nasikitika kusema nasikitishwa sana na ambavyo mbunge wa Mbeya mjini Mr Sugu alivyomtelekeza John Walker kiasi aliishi maisha magumu sana mpaka kifo chake.

Mnatakiwa kufahamu John Walker, Mapacha, Mkoloni na G Solo ndio wasanii waliopigana bega kwa bega kuakikisha Sugu anaingia bungeni hiyo ni mwaka 2010. Walijitoa kwa hali na mali kuakikisha Sugu anapata ubunge. Walichangisha michango, walisimama kwenye kampeni bila malipo ili kamanda aingie mjengoni.

Baada ya kuukwaa ubunge John Walker akawa ndio dereva wake wa kwanza wa mbunge Sugu. Walishiriki nae kwenye movement nyingine ya Anti virus ambayo Sugu aliwaaminisha wenzake wanapigania maslahi ya muziki wa bongofleva. Mwisho wa siku Sugu alipppata pesa yake aliyodhulumiwa na Ruge akaenda kimya kimya kupatana na Ruge kisha mzozo ukaanzia hapo. Akawapiga chini rafiki zake wote waliojiita vinega akiwemo dereva wake John Walker akamwondoa kwenye kazi ya udereva na Walker akarudi mtaani kubangaiza kwa kazi ya ufundi wa magari na kuchomelea vyuma.
Tangia anaumwa mpaka anakata roho marehemu akuwai kupata msaada wowote wala salamu ya pole toka kwa rafiki yake kipenzi wa zamani Sugu.Ama kweli maskini akipata...........[/QUOTE]
acha umbea fanya kazi wewe
 
Sugu ana posho na mshahara zaidi ya million 10 per month kutumia mshikaji wako awe attended earlier ilikuwa ni jambo la kiutu na kiungwana ata kama alimtupa angemkumbuka japo for once.

Watu wa jimbo lake wanamatatizo makubwa kuliko alivyokuwa Marehemu John Walker.
 
Back
Top Bottom