Thinking yako kuwa kumpa mtu pesa ndio support?Kwa hiyo ilitakiwa awe anawalipa kila mwez aw?
Watu wakimpa
Fikra zako ni kudhhani malipo ni pesa tu, you are wrong brother/sister!Kwa hiyo ilitakiwa awe anawalipa kila mwez aw?
Kwani unafikiri waliomchagua Lowasa, Magufuli au Mbowe, Maalim walitegemea malipo ya pesa?
Waulize wagombea wako hawakuwaaminisha wananchi na watu wao wa karibu kuwa kuna A, B,C etc ambavyo nitaboresha, kubuni au kuendeleza?
Je hakuwa na ahadi za kufanya pamoja nao?
Umeshawahi kushiriki uchaguzi wowote hata wa kiranja wa shule?
Je hujui kuwa voters na wapambe huwa nao wana agenda?
Hivi hujui sometimes people are forced by friends to participate kttk uchaguzi hoping kwamba aatayafanya Yale wanayoyaamini?
Sasa kama hakuyatekeleza kwanini watu wasiwee disappointed?
Kwanini watu wasilalamkiwe!
Kuna ambao wana invest pesa na mudaa hoping kuna payback time!
Kila mtu anahitaji malipo yake anapoinvest, wapo wanaotaka maendeleo ya umma, wapo wanaotaka kulipwa pesa, nothing more nothing less! Na hunaa haki yaa kumlaumu kwa kuwa aliinvest mwanzoni!
Hatuwezi kumsemea marehemu Ila kama palikuwa na deal lolote na Sugu hakulitimiza marehemu alikuwa na haki ya kulalamika! Na hatuna haja ya kumshangaa marehemu peke yake, tumshangae pia rafiki yake (sugu) ambaye hakutmiza ahadi yake kwa mtu aliyemsaidia!