Kama kawaida ya wabunge wa CHADEMA kutelekeza familia zao hii imesikika baada ya aliyekuwa mke wa sugu kuweka hadharani uongo wa sugu wa kutolipa Ada kwa mwanae na kuweka receipt za uongo Instagram kumbe anajisafisha
Mwanadada anaeleza ambavyo sugu katoa Ada Mara tatu tu wakati wa mtoto anasoma primary,
Kaeleza kuwa Ada haifiki hata dolla 1000 wakati Ada iliyolipwa Ni zaid ya dollars 7000
Kaeleza tena alitaka suluhu kwa kwenda Zanzibar kwa baba wa hiari wa sugu ili angalau aombe sugu awe anasaidia kusomesha mtoto lakin sugu akagoma,
Amesema sugu kilichonshutua na kuanza kupost receipts zisizo na maana ni baada ya kuona watoto wadogo kama diamond platinuns wanawajibika kwa familia zao lakin sugu kabeba mzigo kwenye suruali tu,
Kwa maaelezo zaid pitia video