Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Mwanaume kosea mambo yote lakini kamwe usifanye makosa katika kutengeneza familia(yaani kuoa na kuzaa), kwa sababu matokeo yake yatakuandama maisha yako yote.

Malaya wa mjini wanatumia watoto waliozalishwa na wanaume kama mtaji wa kutafuna pesa za wanaume hao. Na wakigundua pesa ipo watakuganda kama ruba, ila kama hauna mkwanja mrefu watakwambia hata mtoto sio wa kwako.
 
Kama kawaida ya wabunge wa CHADEMA kutelekeza familia zao hii imesikika baada ya aliyekuwa mke wa sugu kuweka hadharani uongo wa sugu wa kutolipa Ada kwa mwanae na kuweka receipt za uongo Instagram kumbe anajisafisha

Mwanadada anaeleza ambavyo sugu katoa Ada Mara tatu tu wakati wa mtoto anasoma primary,

Kaeleza kuwa Ada haifiki hata dolla 1000 wakati Ada iliyolipwa Ni zaid ya dollars 7000

Kaeleza tena alitaka suluhu kwa kwenda Zanzibar kwa baba wa hiari wa sugu ili angalau aombe sugu awe anasaidia kusomesha mtoto lakin sugu akagoma,

Amesema sugu kilichonshutua na kuanza kupost receipts zisizo na maana ni baada ya kuona watoto wadogo kama diamond platinuns wanawajibika kwa familia zao lakin sugu kabeba mzigo kwenye suruali tu,

Kwa maaelezo zaid pitia video

Bora mara mia Mh. Sugu kaachana na hii takataka, hivi kweli kuna mwanaume mwenye akili zake timamu anaweza kuendelea kuishi na kimeo kama hichi..

image.jpeg
image.jpeg
 
Kama kawaida ya wabunge wa CHADEMA kutelekeza familia zao hii imesikika baada ya aliyekuwa mke wa sugu kuweka hadharani uongo wa sugu wa kutolipa Ada kwa mwanae na kuweka receipt za uongo Instagram kumbe anajisafisha

Mwanadada anaeleza ambavyo sugu katoa Ada Mara tatu tu wakati wa mtoto anasoma primary,

Kaeleza kuwa Ada haifiki hata dolla 1000 wakati Ada iliyolipwa Ni zaid ya dollars 7000

Kaeleza tena alitaka suluhu kwa kwenda Zanzibar kwa baba wa hiari wa sugu ili angalau aombe sugu awe anasaidia kusomesha mtoto lakin sugu akagoma,

Amesema sugu kilichonshutua na kuanza kupost receipts zisizo na maana ni baada ya kuona watoto wadogo kama diamond platinuns wanawajibika kwa familia zao lakin sugu kabeba mzigo kwenye suruali tu,

Kwa maaelezo zaid pitia video

Dola 7000 elimu ya kindergarten!????
Dah, wengine duniani tumekuja kutembea
 
Kosea vyote ila usikosee wa kuoa au kuzaa nae! Sijui ni lini atakubali kuwa sugu hamhitaji tena. Ataendelea ku-fantasize mpk Yesu atarudi.

Huyu binti & mange walipaswa kuwa wodi moja!
 
Back
Top Bottom