Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656


Haya sasa Sugu kajibu mapigo
Screenshot_20170920-162310.png
Screenshot_20170920-162257.png
 
Bonge moja la mistake, kila mtu anajua yule mwanamke ni fyatu, then unatumia muda wako kumjibu fyatu, mwisho wa siku atakuchamba wewe hadi ukoo wenu wote. Kati ya wanaume waliokosea kuwa na mahusiano na wanawake wasiofaa ni pamoja na Mheshimiwa na Platnum kwa Mobeto, mwanamke anayeweza kuweka mambo yenu ya faragha kwenye social media huyo ni fyatu kuliko mafyatu wote duniani.
 
Kati ya kosa kubwa alilolifanya sungu maishani, ni kutembea au hata kulala na yule mwanamke, nahisi atakuwa amepata hadi mkosi. hivi hakuona wanawake wengine? huko mbeya hakuna wanawake hadi ukachukue mtu anayesingiziwa hadi kujiuza china na hapa bongo?
 
Ndio maana wanaume wengine wanasusa watoto. Wanawake muda mwingne Akili zetu tunazijua wenyewe tusameheni tu. Ndio mama zenu, wake zenu, dada zenu mtafanyaje

Uko humble hadi raha; hivi hiyo lazanya naeza pata wapi mkuu?
 
Wanaume waliozaa huku na kule naona wameamua sasa.. pesa pesa pesaaaaaa

Mwisho wa siku mjuage kutumia mipira nyie wengine msio na uhakika na wanawake zenu.. sio kupiga makelele yenu mitandaoni kutafuta huruma.. huku vichwa vyenu viliamua kuwa kulala bila mipira kuna nafasi kubwa sana ya kuishia kulea.

Nasubiri aturushie na pesa ya kila mwezi anatoa kiasi gani.. naona hapo hajamaliza bado.. si ndio wengi mmemshabikia mwenzenu jana au!?
 
Sugu avumilie tu, alitoka wapi na mwanamke asiye na akili?
Siku zote nawaambia wanaume kaeni mbali na mwanamke mjinga hata kama ana sura ya MALAIKA kuna kesho atakuumbua.
Hahahaha alitoka nae huko huko,huyu Dada nadhani mapenzi yanamtesa na hajapata wa kumkuna vzr kumshinda Sugu ndo maana haishi kuweweseka
 
Wanawake wengine bhana kheri upige puchu tuu kuliko kumpa goli lako yaani ni shida nshida....yaani yana feel presitage sana kuwa limebatuliwa na don Fulani....bhanae ..sugu dogo akifikisha miaka saba mchukue bhana asikuzingue legend wetu tuone kama ajaimba bankulutu huyo .....
 
Back
Top Bottom