Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Mhuni ni mhuni tu na hawezi kuacha uhuni wake hata ukimvalisha suti na tai shingoni. Sugu hakustahili kuongoza jimbo la Mbeya mjini hata kwa wiki moja tu maana tabia na nidhamu yake ni mbovu na mbaya Sana
 
Sugu ana exposure za kutosha
Ila sahv lucas,lazima nkionana na mwenezi nimpe taarifa zako
Ikiwezekana akufikirie

Ova
Tizama Post #271 hapo chini uone kwanini tunasema sugu ni muhuni ambaye alikuwa hastahili heshima ya kuingia bungeni.
 
Tizama Post #271 hapo chini uone kwanini tunasema sugu ni muhuni ambaye alikuwa hastahili heshima ya kuingia bungeni.
Uhuni wake nini????

Kwani sahvi huko bungeni hakuna wabunge wahuni lucas
Ccm yenyewe kuna wahuni wengi tu
Wamejaa

Ova
 
Uhuni wake nini????

Kwani sahvi huko bungeni hakuna wabunge wahuni lucas
Ccm yenyewe kuna wahuni wengi tu
Wamejaa

Ova
CCM Haina wabunge aina ya sugu wanaoweza wakafanya hicho alichofanya sugu wakati ni Mbunge
 
Na wewe ni mpumbavu kama sugu tu,hivyo vitu vyoote anavyomiliki vinamsaidia vp mwananchi maskini wa mbeya?!.
 
Umeanza kumjua lini SUGU??
Yule ni mwana Hip pop majigambo ni Jadi yake tangu zama hizo.
Umasikini wa watanzania umeletwa na CCM unayoishabikia na kujipendekeza.

Weka namba ya simu nina laki moja hapa kwenye simu nataka nikupe pesa ya wikiendi.
 
Na wewe ni mpumbavu kama sugu tu,hivyo vitu vyoote anavyomiliki vinamsaidia vp mwananchi maskini wa mbeya?!.
Huo umasikini wa wananchi wa Mbeya nani kuleta na wa kulaumiwa??
Acheni SUGU aishi maisha yake ya majigambo nanyi kazini mattyakko yenu kutafuta pesa kwa nguvu zote hata ikibidi mpakuliwe.
 
Na wewe ni mpumbavu kama sugu tu,hivyo vitu vyoote anavyomiliki vinamsaidia vp mwananchi maskini wa mbeya?!.
Umekosea kuandika au hujui ulichoandika?

Aiseee kama hizi ndizo akili zako wazazi na ndugu zako wanashida sana Boya wewe!
 
Ukilipeleka zumbukuku la mitaani bungeni, hayo ndiyo matokeo yake.
 
Hiyo
Chini ya serikali ya CCM Nchi yetu imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila Secta.
Hiyo ya maendeleo Kila Secta mkuu,unapotaja Hilo neno mpaka nafasi inakusuta.

Mpende kuongea ukweli mkuu,kwani shida Nini kinachowakumba wanaccm🙄.

Hakuna msomi aliyewahi kuingia ccm akawa salama😂.
Nchi ni maskini,wananchi wake ni Walala hoi,hohehahe,Wanyonge wanaishi kama mazuzu katika Nchi ambayo Ina Kila kitu.
Ila Kwa viongozi wa Ccm kwao wapo wanakula mema.

Ila mfumo aliotuwchia Hayati Kambarage hakika alituachia Mchoro wa Kaburi ambapo mwanaccm amebaki anachimba na kuzika tu.

Ipo siku vyombo vya Dola vitakapojitambua,ndo mtajua kuwa Nchi hii ilihitaji mabadiriko Toka mwaka 2005
 
Umesahau kuweka namba ya simu we pimbi
 
Ukilipeleka zumbukuku la mitaani bungeni, hayo ndiyo matokeo yake.

..zumbukuku ni wasomi waliopewa nafasi za uongozi bungeni lakini kupitia nafasi zao wamegeuza bunge kuwa kibaraka wa watawala.
 
..zumbukuku ni wasomi waliopewa nafasi za uongozi bungeni lakini kupitia nafasi zao wamegeuza bunge kuwa kibaraka wa watawala.
Usijipinge mkuu, zumbukuku karudi mitaani, kule alikozoea!
 
🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…