Nkaburu JF-Expert Member Joined Mar 23, 2023 Posts 1,638 Reaction score 1,961 Mar 3, 2024 #241 Lucas mwashambwa said: Kumbe Wanawatesa watu katika mvua na safari ndefu za kutembea barabarani kwa ajili ya kuonyesha vito vyao vya thamani? Click to expand... Your browser is not able to display this video.
Lucas mwashambwa said: Kumbe Wanawatesa watu katika mvua na safari ndefu za kutembea barabarani kwa ajili ya kuonyesha vito vyao vya thamani? Click to expand... Your browser is not able to display this video.
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Mar 3, 2024 #242 Kumbe hukumuelewa muheshimiwa alitaka kufikisha ujumbe Gani kwa watanzania na watawala kiujumla.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Mar 3, 2024 #243 Unamsema mwanaMbeya mwenzio.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 4, 2024 #244 Luca kama lukasi....
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Mar 4, 2024 #245 We nichawa tu wa supika hamna lolote
Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Mar 6, 2024 #246 Lucas mwashambwa said: CCM Ina watu wanaojitambua na wala haina watu aina yako wasiojitambua. Click to expand... Tofauti yetu ni Uchawa. Nikiangalia nyuzi zako zimejaa uchawa na hienahiena. Toka nje ya Box utaeleweka, baki ndani ya box uendelee kujipendekeza mkuu. Kwani hakuna shida kwenye jamii ambazo CCM imefeli muda mrefu kutatua? Unaweza kuendelea kuwa Mwanaccm kindakindaki ilhali penye kukosoa unakosoa na penye kusifia unasifia, Siyo hienahiena mpaka mwisho.
Lucas mwashambwa said: CCM Ina watu wanaojitambua na wala haina watu aina yako wasiojitambua. Click to expand... Tofauti yetu ni Uchawa. Nikiangalia nyuzi zako zimejaa uchawa na hienahiena. Toka nje ya Box utaeleweka, baki ndani ya box uendelee kujipendekeza mkuu. Kwani hakuna shida kwenye jamii ambazo CCM imefeli muda mrefu kutatua? Unaweza kuendelea kuwa Mwanaccm kindakindaki ilhali penye kukosoa unakosoa na penye kusifia unasifia, Siyo hienahiena mpaka mwisho.
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Mar 10, 2024 #247 Msanii wa hip hop yule alikuwa ana brag tu,mbm uko siriazi sana na maisha?