Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Kumbe hukumuelewa muheshimiwa alitaka kufikisha ujumbe Gani kwa watanzania na watawala kiujumla.
 
CCM Ina watu wanaojitambua na wala haina watu aina yako wasiojitambua.
Tofauti yetu ni Uchawa.
Nikiangalia nyuzi zako zimejaa uchawa na hienahiena.

Toka nje ya Box utaeleweka, baki ndani ya box uendelee kujipendekeza mkuu.

Kwani hakuna shida kwenye jamii ambazo CCM imefeli muda mrefu kutatua?

Unaweza kuendelea kuwa Mwanaccm kindakindaki ilhali penye kukosoa unakosoa na penye kusifia unasifia, Siyo hienahiena mpaka mwisho.
 
Msanii wa hip hop yule alikuwa ana brag tu,mbm uko siriazi sana na maisha?
 
Back
Top Bottom