Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

aise eti ni mzazi huyo lakini pia eti ana nia ya kutaka kua muwakilishi wa wananchi bungeni πŸ’

ni aibu na fedheha kwake binafsi, kwa familia yake, kwa chama chake na watu wa mbeya kwa ujumla πŸ’

ni aina ya tabia walizowahi kuzisema wahenga, kwamba,
"maskini akipata matako hulia mbwata" πŸ’


mambo ambayo yanafaa kufanywa na vijana wadogo wa 2015 ndio yanafanywa na zee zima la 70s na mimvi kama yote

si sawa hata kidogo πŸ’
 
CCM ina watu wajinga sn
 
CHADEMA hawana akili kabisa .maana Mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua na uliyekomaa na kupevuka kiakili huwezi kuandika ujinga wa namna hiyo aliouandika sugu.
 
Nimeoa mbeya inafika sehem naona aibu mke wangu kua na makaka wajinga km huyu jamaa hivi kweli ww unakaaga na kujitafakali?!?.Hasara wazazi wako waliyoipata hiiiiiii bagosha
Akili yako ni ndogo sana na bila shaka ni zile akili ndogo za sugu za ulimbukeni.
 
Kweli ushambwa mzigo. Si kila wakati ni wa politiki. Unasaka kiki hadi kwenye swaga za Sugu? Hapo ulitakiwa ucheke na wewe kuweka kijembe cha ki-UWT-CCM kujibu mapigo.
 
Endeleeni na ujinga wenu na huo ulimbukeni wenu.majibu yake mtayapata katika sanduku la kura katika chaguzi zijazo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huoni aibu kutaka sanduku la kura mkuu.

Ukitaka sanduku la kura inabidi uwatagi,Polisiccm,Wakurugenzi,Jaji Mituringa,na Mkurugenzi wa Uchaguzi.
Ila ipo siku mkuu,mtalia na kusaga meno siku Polisi watajitambua na kijitenga na siasa chafu mnazowalazimisha.

Chadema kiufupi imejaa akili kubwa.
Bunge limejaa mafisadi.
Magufuri alikuwa vizuri,ila hakuna mwanasiasa Safi.
 
Akili zenu CHADEMA ni ndogo sana na ndio maana vinywa vyenu vimejaa ulimbukeni,uropokaji na utoto utoto tu.maana mtu anayejitambua hawezi kufanya ujinga wa namna hiyo. hiyo hawawezi kukipigia kura chama chenye viongozi wahuni wahuni kama CHADEMA.
 
Kweli ushambwa mzigo. Si kila wakati ni wa politiki. Unasaka kiki hadi kwenye swaga za Sugu? Hapo ulitakiwa ucheke na wewe kuweka kijembe cha ki-UWT-CCM kujibu mapigo.
Acheni ulimbukeni na akili za kitoto kitoto
 
Sugu ni raia wa Marekani

Swagger ni Kawaida sana πŸ˜‚πŸ˜‚
kumbe nae ni puppet kama yule mwingine πŸ’

ndio maana bas kwasabb hizo tabia zake zinashangaza ndio maana imefika mahali hadi wananchi wana wasiwasi na utimilifu wake kwa hali ile huenda umemomonyolewa maana wamarekani nao sio watu wazuri sana πŸ’
 
Amechemsha, ila hizi, hasira ungezielekeza kwa ccm walioifsnya bongo kama zombie kwa miaka 60+, ingekuwa poa,
Unakumbuka uongo wa shetani LA chato kuhusu makinikia?! Noah zetu zipo wapi? Je unakumbuka kuhusu Richmond, EPA? Majizi, yapo ccm, huyo sugu,ni mganga njaa kama wengine, hebu fikiria chadema ichukue nchi, harafu sugu awe waziri! Si vituko vitupu! Elimu ya form 4! Na bongo fleva basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…