TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Nilitaka kukutumia vocha hujaweka namba ya simu mbona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu Watanzania,
Kupitia mtandao wa Twitter Sugu ameandika kuwa katika maandamano ya hapo jana ameweka rekodi ya Dunia kama muandamanaji aliye vaa vito vya thamani zaidi,na kwamba rekodi hiyo aliiweka pale maandamano yalipofanyika mkoani Mbeya na sasa amevunja rekodi yake mwenyewe kwa maandamano ya hapo jana kwa kuvaa vito hivyo thamani.
Ndugu zangu Watanzania kwa maneno haya ya sugu mnaweza kuona ni namna gani jimbo la Mbeya mjini lilipata bahati mbaya sana ya kuongozwa na mhuni mhuni kwa miaka kumi mfululizo,jimbo lilikuwa katika mikono ya mtu asiyejitambua wala kuelewa kazi ya ubunge ilikuwa ni nini .ndio maana hapa majuzi wakati Dkt Tulia anagawa bure bima za afya elfu sita pamoja na kumkabidhi nyumba aliyomjengea ndugu Hosea,niliwaambia ya kuwa katika muda wote wa uongozi wa Sugu kama mbunge alikuwa ni kama mbunge hewa tu,hakuwahi kuwa na msaada wa aina yoyote ile kwa mwananchi yeyote yule wa jiji la mbeya zaidi ya maslahi yake binafsi.
Sugu aliomba ubunge na kuutaka tena ubunge kwa ajili ya kujineemesha yeye na familia yake. Mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua na mwenye akili ya Kiutu uzima unaanzia wapi kujitapa juu ya kuvaa vito vya thamani katika mwili wako? Hivi hiyo ni akili au matope? Huo ni ulimbukeni au utoto? Sugu atakua na kukomaa lini akili yake? Mtu mwenye akili ya namna hii anaweza akagusa vipi maisha ya watu? Anaweza vipi wajali na kuwaonea huruma wajane, yatima,wazee na watu wasio jiweza na wanaohitaji msaada? Anaweza vipi wasaidia watu hawa? Anaweza vipi wapambania watu wakapata miradi ya maji safi na salama,miradi ya barabara,afya,elimu? Anaweza vipi pigania maendeleo katika jimbo wakati akili yake ipo katika kuwaza vito vya thamani ili kuwazidi na kuwalingishia wananchi anaowaongoza?
Kwa hiyo lengo la sugu na CHADEMA yake katika maandamano siyo yale wanayotamka katika ndimi zao,bali ni kuangalia ufukara wa watanzania,mavazi ya watanzania ,hali za wananchi pamoja na kuwalingishia utajiri wao waliouchuma kupitia viinua mgongo na maposho waliyovuna wakiwa wabunge. Hii ndio sababu wanawadharau watanzania na kuita kazi halali kuwa ni za laana kama alivyotamka lema hadharani.
Kumbe Wanawatesa watu katika mvua na safari ndefu za kutembea barabarani kwa ajili ya kuonyesha vito vyao vya thamani? Kwa hakika CHADEMA na viongozi wake imelaaniwa na ndio maana kwa upofu wa akili wanaandika ujinga huu katika mitandao ya kijamii.kwa sababu Mungu amewapiga upofu wa akili.maana kiongozi wa kamati kuu unayeguswa na maisha ya watu na mwenye dhamira ya kuwapigania wanyonge na unayetaka kuinua maisha ya watu siku ukipewa madaraka huwezi kujitapa kwa kuvaa vito vya thamani mwilini mwako .maana hiyo inamaanisha kuwa unapokuwa mstari wa mbele unakuwa unawakejeli waandamanaji kwa namna walivyo vaa vitu vya mitumba vilivyochoka na kuchakaa.
Hoja yangu siyo kumshambulia sugu kuwa asivae hivyo vito vya thamani ambavyo amejinunulia kwa pesa zake.bali ni kupinga ulimbukeni wake na kukosa kwake busara ,hekima na kutokujitambua kwake kwa kuanza kulingia vito vya thamani mbele ya waandamanaji anaowaona kuwa wamevaa vitu vya hovyo hovyo.hii ndio sababu CHADEMA inaendelea kupuuzwa na watanzania kwa kuwa ni mkusanyiko wa viongozi wahuni wahuni wasio na uchungu na maisha ya watanzania wala kuguswa na maisha ya watu zaidi ya kutafuta milango ya kupatia madaraka yatakayowapa fursa ya kuvuna pesa pasipo jasho ili baadaye waje wawatapikie matusi Watanzania.
Akili na mawazo haya ya sugu ndio waliyonayo viongozi karibu wote wa CHADEMA.wakishapata vijisenti kidogo tu wanaanza dharau,matusi, kejeli,ulimbukeni na utoto utoto tu na kusahau waliowafikisha hapo walipo. CHADEMA ni laana mbele ya watu waliostaarabika. Ni chama kinachopaswa kupingwa sana maana kinaweza kuleta ubaguzi mkubwa sana katika jamii na kuwafanya watu wengine wajione hawana thamani wala hadhi katika Taifa lao.wanaweza chochea hasira kubwa katika mioyo ya wananchi ambao wanaweza kuamua liwalo na liwe kuliko kudharaulika.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Kwani wewe ndiye huwa unanipa pesa ya vocha.acha dharau mkuu .Nilitaka kukutumia vocha hujaweka namba ya simu mbona
Acheni uhuni uhuni na maandamano yenu yasiyo na tija zaidi ya kufanya ulimbukeni wa kuonyesha vito vyenu vya thamani kwa wananchi .kwa hakika hamna akili kabisa nyie.Ha ha ha 😂 wee jamaa bwana dah
Sasa kama ni kweli kuna ubaya gani au wivu ni wa nini
Mkuu,uhuni upo Ccm.Unapotaja neno Chadema mpaka miwili unakutetemeka hakika.Akili zenu CHADEMA ni ndogo sana na ndio maana vinywa vyenu vimejaa ulimbukeni,uropokaji na utoto utoto tu.maana mtu anayejitambua hawezi kufanya ujinga wa namna hiyo. hiyo hawawezi kukipigia kura chama chenye viongozi wahuni wahuni kama CHADEMA.
Chini ya serikali ya CCM Nchi yetu imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila Secta.Mkuu,uhuni upo Ccm.Unapotaja neno Chadema mpaka miwili unakutetemeka hakika.
Kiufupi,ccm mmeishiwa pumzi hamnaga tofauti na maiti zilizoko Mochwali Tena za majambazi.
Kwa maana zinakuwa hazina thamani katika jamii.
Watu waoga wanakimbilia ccm kimaslahi,wakiamini ukiwa ccm hata ufanye nn unakingiwa kifua.
Kwa maana hiyo,uchafu wenu umelifikisha Taifa katika hali ngumu.
Nchi Ina Kila lasilimali,lakini maisha wanayoishi watanzania mpaka mnawaita Wanyonge.
Huo ni upuuzi kiwango Cha Lami.
Siku vyombo vya Dora vitakapojitofautisha na siasa mavi za Nchi hii ccm ndo utakuwa bai bai.
Na itabidi mjiandae kisaikolojia.
Acheni uhuni uhuni na maandamano yenu yasiyo na tija zaidi ya kufanya ulimbukeni wa kuonyesha vito vyenu vya thamani kwa wananchi .kwa hakika hamna akili kabisa nyie.
Chini ya serikali ya CCM Nchi yetu imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila Secta.
Endelea kumletea ulimbukeni SIKU Moja atakubanduaNdugu zangu Watanzania,
Kupitia mtandao wa Twitter Sugu ameandika kuwa katika maandamano ya hapo jana ameweka rekodi ya Dunia kama muandamanaji aliye vaa vito vya thamani zaidi,na kwamba rekodi hiyo aliiweka pale maandamano yalipofanyika mkoani Mbeya na sasa amevunja rekodi yake mwenyewe kwa maandamano ya hapo jana kwa kuvaa vito hivyo thamani.
Ndugu zangu Watanzania kwa maneno haya ya sugu mnaweza kuona ni namna gani jimbo la Mbeya mjini lilipata bahati mbaya sana ya kuongozwa na mhuni mhuni kwa miaka kumi mfululizo,jimbo lilikuwa katika mikono ya mtu asiyejitambua wala kuelewa kazi ya ubunge ilikuwa ni nini .ndio maana hapa majuzi wakati Dkt Tulia anagawa bure bima za afya elfu sita pamoja na kumkabidhi nyumba aliyomjengea ndugu Hosea,niliwaambia ya kuwa katika muda wote wa uongozi wa Sugu kama mbunge alikuwa ni kama mbunge hewa tu,hakuwahi kuwa na msaada wa aina yoyote ile kwa mwananchi yeyote yule wa jiji la mbeya zaidi ya maslahi yake binafsi.
Sugu aliomba ubunge na kuutaka tena ubunge kwa ajili ya kujineemesha yeye na familia yake. Mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua na mwenye akili ya Kiutu uzima unaanzia wapi kujitapa juu ya kuvaa vito vya thamani katika mwili wako? Hivi hiyo ni akili au matope? Huo ni ulimbukeni au utoto? Sugu atakua na kukomaa lini akili yake? Mtu mwenye akili ya namna hii anaweza akagusa vipi maisha ya watu? Anaweza vipi wajali na kuwaonea huruma wajane, yatima,wazee na watu wasio jiweza na wanaohitaji msaada? Anaweza vipi wasaidia watu hawa? Anaweza vipi wapambania watu wakapata miradi ya maji safi na salama,miradi ya barabara,afya,elimu? Anaweza vipi pigania maendeleo katika jimbo wakati akili yake ipo katika kuwaza vito vya thamani ili kuwazidi na kuwalingishia wananchi anaowaongoza?
Kwa hiyo lengo la sugu na CHADEMA yake katika maandamano siyo yale wanayotamka katika ndimi zao,bali ni kuangalia ufukara wa watanzania,mavazi ya watanzania ,hali za wananchi pamoja na kuwalingishia utajiri wao waliouchuma kupitia viinua mgongo na maposho waliyovuna wakiwa wabunge. Hii ndio sababu wanawadharau watanzania na kuita kazi halali kuwa ni za laana kama alivyotamka lema hadharani.
Kumbe Wanawatesa watu katika mvua na safari ndefu za kutembea barabarani kwa ajili ya kuonyesha vito vyao vya thamani? Kwa hakika CHADEMA na viongozi wake imelaaniwa na ndio maana kwa upofu wa akili wanaandika ujinga huu katika mitandao ya kijamii.kwa sababu Mungu amewapiga upofu wa akili.maana kiongozi wa kamati kuu unayeguswa na maisha ya watu na mwenye dhamira ya kuwapigania wanyonge na unayetaka kuinua maisha ya watu siku ukipewa madaraka huwezi kujitapa kwa kuvaa vito vya thamani mwilini mwako .maana hiyo inamaanisha kuwa unapokuwa mstari wa mbele unakuwa unawakejeli waandamanaji kwa namna walivyo vaa vitu vya mitumba vilivyochoka na kuchakaa.
Hoja yangu siyo kumshambulia sugu kuwa asivae hivyo vito vya thamani ambavyo amejinunulia kwa pesa zake.bali ni kupinga ulimbukeni wake na kukosa kwake busara ,hekima na kutokujitambua kwake kwa kuanza kulingia vito vya thamani mbele ya waandamanaji anaowaona kuwa wamevaa vitu vya hovyo hovyo.hii ndio sababu CHADEMA inaendelea kupuuzwa na watanzania kwa kuwa ni mkusanyiko wa viongozi wahuni wahuni wasio na uchungu na maisha ya watanzania wala kuguswa na maisha ya watu zaidi ya kutafuta milango ya kupatia madaraka yatakayowapa fursa ya kuvuna pesa pasipo jasho ili baadaye waje wawatapikie matusi Watanzania.
Akili na mawazo haya ya sugu ndio waliyonayo viongozi karibu wote wa CHADEMA.wakishapata vijisenti kidogo tu wanaanza dharau,matusi, kejeli,ulimbukeni na utoto utoto tu na kusahau waliowafikisha hapo walipo. CHADEMA ni laana mbele ya watu waliostaarabika. Ni chama kinachopaswa kupingwa sana maana kinaweza kuleta ubaguzi mkubwa sana katika jamii na kuwafanya watu wengine wajione hawana thamani wala hadhi katika Taifa lao.wanaweza chochea hasira kubwa katika mioyo ya wananchi ambao wanaweza kuamua liwalo na liwe kuliko kudharaulika.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Halafu mtoa hoja ni wivu tu, wanapenda kuabudu umaskini sana.Povu lote unataka kushindana na mwana hiphop...
Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu katika Taifa letu.Nani ndugu yako?
Acheni dharau kwa watu.Halafu mtoa hoja ni wivu tu, wanapenda kuabudu umaskini sana.
Betina amekupa shilingi ngapi?! [emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu zangu Watanzania,

Wana hipo hop wote duniani tabia yao ni kujisifu!Ndugu zangu Watanzania,

Msipobadilika akili zenu kwa hakika mtafika mmechoka sana mwakani, ambapo mtajikuta hakuna hata kundi moja linalowaunga mkono.Betina amekupa shilingi ngapi?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaziapicha
Yaani pamoja na mimi kuwa CCM nilianza kukudharau kila ukiweka andiko na namba yako ya simuNimeona aibu sana kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa na Historia ya kuongozwa na mtu kama sugu mwenye akili ya kitoto licha ya kuwa ni mtu mzima kiumri.
Siyo lazima uniheshimu ,utahangaika na kuteseka sana ukitaka kila mtu akuheshimu na kukupenda.Yaani pamoja na mimi kuwa CCM nilianza kukudharau kila ukiweka andiko na namba yako ya simu
Tatizo kwenye Nchi hii ni KATIBA MPYA TU.Ndugu zangu Watanzania,