Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano


Ha ha ha 😂 wee jamaa bwana dah

Sasa kama ni kweli kuna ubaya gani au wivu ni wa nini
 
Ha ha ha 😂 wee jamaa bwana dah

Sasa kama ni kweli kuna ubaya gani au wivu ni wa nini
Acheni uhuni uhuni na maandamano yenu yasiyo na tija zaidi ya kufanya ulimbukeni wa kuonyesha vito vyenu vya thamani kwa wananchi .kwa hakika hamna akili kabisa nyie.
 
Akili zenu CHADEMA ni ndogo sana na ndio maana vinywa vyenu vimejaa ulimbukeni,uropokaji na utoto utoto tu.maana mtu anayejitambua hawezi kufanya ujinga wa namna hiyo. hiyo hawawezi kukipigia kura chama chenye viongozi wahuni wahuni kama CHADEMA.
Mkuu,uhuni upo Ccm.Unapotaja neno Chadema mpaka miwili unakutetemeka hakika.


Kiufupi,ccm mmeishiwa pumzi hamnaga tofauti na maiti zilizoko Mochwali Tena za majambazi.

Kwa maana zinakuwa hazina thamani katika jamii.

Watu waoga wanakimbilia ccm kimaslahi,wakiamini ukiwa ccm hata ufanye nn unakingiwa kifua.

Kwa maana hiyo,uchafu wenu umelifikisha Taifa katika hali ngumu.

Nchi Ina Kila lasilimali,lakini maisha wanayoishi watanzania mpaka mnawaita Wanyonge.
Huo ni upuuzi kiwango Cha Lami.

Siku vyombo vya Dora vitakapojitofautisha na siasa mavi za Nchi hii ccm ndo utakuwa bai bai.

Na itabidi mjiandae kisaikolojia.
 
Chini ya serikali ya CCM Nchi yetu imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila Secta.
 
Acheni uhuni uhuni na maandamano yenu yasiyo na tija zaidi ya kufanya ulimbukeni wa kuonyesha vito vyenu vya thamani kwa wananchi .kwa hakika hamna akili kabisa nyie.

Ww unavyoona kero ni the same na watu wanavyoona kero na maandiko yako so vumilia tu
 
Endelea kumletea ulimbukeni SIKU Moja atakubandua
 
Betina amekupa shilingi ngapi?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana hipo hop wote duniani tabia yao ni kujisifu!
 
Tatizo kwenye Nchi hii ni KATIBA MPYA TU.
Ukiwa mpinzani kupata Msaada wa Serikal kwa wakat n Tatzo kubwa. Angalia watu wa lindi jimbo ambalo Bwege alikua mbunge had leo bado kuna shida nying sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…