Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Tatizo kwenye Nchi hii ni KATIBA MPYA TU.
Ukiwa mpinzani kupata Massadawa Serikal kwa wakat n Tatzo kubwa. Angalia watu wa lindi jimbo ambalo Bwege alikua mbunge had leo bado kuna shida nying sana.
Chagua CCM na Wana CCM Ndio wenye uchungu na maisha ya watanzania.sasa wewe unachagua watu aina ya sugu wanaolingishia na kujitapa kwa kuvaa vito vya thamani ,halafu hapo hapo unategemea mtu wa aina hii apiganie maendeleo ya jimbo lako wewe mwananchi? Acheni kuwapa uongozi wahuni wahuni kama sugu na CHADEMA yake.
 
Washamba wengi wanapata tabu sana na Swagga za Sugu
 
Narudia tena huna akili.
ungekuwa na akili ungekua na kazi ya kufanya badala ya kusubiri utekenywe ndo upate mlo
 
Miaka 63 ya Uhuru bado 2po kwenye Sera ya Nyumba n Choo. Bado wanaserikal inapambana na wakaz wake wawe na vyoo majumban kwao. SHAME ON YOU
 
Mule bungeni ukiondoa washamba wachache walio wengi Wana uraia pacha 😂😂
 
SHida sio Chadema au Serikal shida bado n KATIBA MPYA.
Wananchi weng bado tunashida sana, Ndio maana bado Tunapika Nyama na mifupa kwenye Chungu kimoja halafu mifupa tunaitupa. Wakat tulitumia Mkaa/Gas nyngi kuchemsha.
 
Jadili masuala/ issues wewe. Acha kujadili watu. Jinga kabisa wewe.
Watu hawana SUKARI, MAJI YA UHAKIKA WALA UMEME wewe unajadili vidani vya suba
 
Nilijua tu kabla hata sijaangalia aliyeandika nikajua litakuwa popoma Lucas Mwashambwa!
 
Lukas kinachokusumbua ni umasikini,ujinga na wivu.
Sipendi dharau .napenda kiongozi na mtu mwenye uzalendo,utu, unyenyekevu, ubinadamu, uungwana,mcha Mungu,huruma,upendo na mwenye kujali watu na kuwa na uchungu na maisha ya watu. Sipendi viongozi na watu aina ya sugu wenye viburi,dharau,kejeli,uroho na uchu wa madaraka,wanafiki,waropokaji,wenye mihemuko na wenye akili za kitoto na wasiojitambua. Watu kama sugu hawafai hata kidogo kuwa viongozi.
 
Jadili masuala/ issues wewe. Acha kujadili watu. Jinga kabisa wewe.
Watu hawana SUKARI, MAJI YA UHAKIKA WALA UMEME wewe unajadili vidani vya suba
Unataka nani akuletee sukari hapo ulioobweteka ukipiga umbeya wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…