Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Jamani alichotoa Sugu ni Anti Virus Mix tape vol 2 kwa mafans wake, ajabu iko wapi hapo? by the way kitu ambacho hamjui kuhusu Sugu, ni kwamba yeye hafahamu kitu kinachoitwa Jamiiforums na Sugu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, kwahiyo hakuna mwenye uwezo wa kuendelea na movement zake katika kile anachoamini.
respectI salute you bro!
Mtu kama mwita ni wa kudharauliwa tu.. he is rubbish

Kuwaimbia nyie vipofu, viiwete watarajiwa na viziwi!
ha ha ha! we kijana inaonekana umepotoka sana,****nge sana .Pesa zako zinaweza kupambana na wingi wa kura za wananchi?hujui kama wapenda haki *tunampenda*Sugu*kiasi cha kuweza kukodi treni kwenda kumpigia kura huko! bila shaka huna lolote unatafuta pa kutokea mwenye pesa hajitangaziHata mimi mwenyewe nimeshausikia huo wimbo. Lugha ya matusi aliyotumia inadhihirisha ulimbukeni na ujinga wake tu na hakuna kingine. Mimi nitahakikisha kuwa hautarudi tena bungeni mwaka 2015 kwa njia yoyote ile. Sugu umeshatangaza vita na mimi na nakuhakikishia nitakupoteza bwana mdogo. Hako kaubunge kako ni kacheo kadogo sana na mshahara wako haufikai hata robo ya pato langu la mwezi.

Hata mimi mwenyewe nimeshausikia huo wimbo. Lugha ya matusi aliyotumia inadhihirisha ulimbukeni na ujinga wake tu na hakuna kingine. Mimi nitahakikisha kuwa hautarudi tena bungeni mwaka 2015 kwa njia yoyote ile. Sugu umeshatangaza vita na mimi na nakuhakikishia nitakupoteza bwana mdogo. Hako kaubunge kako ni kacheo kadogo sana na mshahara wako haufikai hata robo ya pato langu la mwezi.

Jamani kwani mwita 25 ni nani mpaka ajadiliwe?na wewe muanzisha mada unaposema Sugu kamjibu Mwita kwenye muziki wake unauhakika?kweli mtu kama Sugu anaweza kujibishana na KICHAA KAMA MWITA 25? WHO IS MWITA 25 IN THIS COUNTRY?DAMN

SUGU naye ni kichaa 2.. Huwezi kuwa mheshimiwa alfu ukawa unatukana kwa kkisongzo cha usanii

Hata mimi mwenyewe nimeshausikia huo wimbo. Lugha ya matusi aliyotumia inadhihirisha ulimbukeni na ujinga wake tu na hakuna kingine. Mimi nitahakikisha kuwa hautarudi tena bungeni mwaka 2015 kwa njia yoyote ile. Sugu umeshatangaza vita na mimi na nakuhakikishia nitakupoteza bwana mdogo. Hako kaubunge kako ni kacheo kadogo sana na mshahara wako haufikai hata robo ya pato langu la mwezi.
Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa.Sugu kupitia albam mpya antivirus vol2 wimbo namba 19.
WHAT MORE I CAN SAY!

hivi kwanini msisikilize kwanza ndipo mje na hayo majumuhisho?jamani sugu mbona anaanza kujishushia hadhi?mwita nae ni mtu wa kujibishana nae?