Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Jamani alichotoa Sugu ni Anti Virus Mix tape vol 2 kwa mafans wake, ajabu iko wapi hapo? by the way kitu ambacho hamjui kuhusu Sugu, ni kwamba yeye hafahamu kitu kinachoitwa Jamiiforums na Sugu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, kwahiyo hakuna mwenye uwezo wa kumzuiya Sugu kuendelea na movement zake katika kile anachoamini.