Mavazi gani yanaendana na mbunge?Kwani huyu ni mbunge?Kivazi hakiendani na mbunge
Vazi la usiku bana mwache happy awe happyKivazi hakiendani na mbunge
WE mrembo usijali bhana,hako kagari ati watu ndio wanaona maaaali au kupata wakati hivyo vikokoteni sisi tunakimbizia kenge msituni.Ukipewa shikamana aisee..
Vipi ulienda kutowa huduna nini? hebu tupe ubuyu basi.Hapo hom kwa sugu napajua..
Basi we njoo kwangu mimi nitakuvalisha ki bata.mbona kavaa kikuku
Kivazi hakiendani na mbunge[/Q
Si unajua tena sisi watu wa bara huwa hatujui fashion kwa sana. Inaonekana ananunua sana mitumba.
Kakuuliza nani?Hapo hom kwa sugu napajua..
Ha ha ha sawa mkuuWE mrembo usijali bhana,hako kagari ati watu ndio wanaona maaaali au kupata wakati hivyo vikokoteni sisi tunakimbizia kenge msituni.
Hujaulizwa umeshajibu je ukiulizwa utajibu nini?Hapo hom kwa sugu napajua..