Sugu amnunulia mpenzi wake gari la kifahari!!

Sugu amnunulia mpenzi wake gari la kifahari!!

Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la SuguView attachment 343819
Duh
 
Duuuuuh, ndio kwanza leo nimejua kuwa Lexus Harrier ni gari ya kifahari.( kwa mujibu wa mleta mada)
 
Mavazi gani yanaendana na mbunge?Kwani huyu ni mbunge?

ila hichi kivazi kinaendana na rais wa marekani au sio ??

tdy_tren_mobama_131120.today-inline-vid-featured-desktop.jpg
 
Sidhani kama Sugu anajua maana ya kuwa kiongozi...hizi show off zinafanywa na Wasanii, Wanamichezo au Wanajamii wengine lakini sio mtu aliyesimama jukwaani na kuiaminisha jamii yake kuwa amekuja kuwatumikia alafu yeye anaishi sayari nyingine.

Huku ni sawa na wanao wanakupigia simu wana njaa nyumbani baba unatuma picha upo Kempinski unafanya party ya birthday.

Mi nilidhani uongozi ni kujinyima....

Kule Nertheland Waziri anatumia baiskeli huku kwetu Mbunge anagawa zawadi ya Gari kwa girlfriend.
 
Ngoja namimi nitafute mheshimiwa lol!
 
Sugu amesota sana bila ndoa..mungu ambariki aisee na amfute machozi.. kama humjui sugu na background yake utaona wivu. Ila jamaa amepambana sana. Si utani
 
hizi ndo aina za wanawake wa sugu kumbe na hayo mavazi basi faiza hakukosea kuvaa vile
 
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la SuguView attachment 343819

Ubunge unalipa
Ndio maana jana alikuwa anatetea poshoo [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom