Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tu, na ww kamnunulie mkeo hata mkokoten basiPesa za mfuko wa jimbo anamnunulia hawara gari...sugu bana
Kwani yeye mwenyewe yukoje?Sugu kanuni yake ni kuwapenda wavaa vini tuu haonj kwa u kioo wake kwa jamii na maadili yetu ni mbali kabisa...!?
DuhRipoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la SuguView attachment 343819
Asante mkuu, hilo swali lako tayari ni jibu kwa mwenye akili.Kwani yeye mwenyewe yukoje?
Mavazi gani yanaendana na mbunge?Kwani huyu ni mbunge?
Kwani huyo ni mbunge wa wapi?Kivazi hakiendani na mbunge
Ulishakuwa mchepuko wa Sugu?Hapo hom kwa sugu napajua..
mbunge anagegeda kivazi au dude, angekuwa hana dude, tungesema ila kivazi hatujari weeeeee.Kivazi hakiendani na mbunge
Kinachomuuma ni kupakuliwa ndogo na mheshimiwa kama anavyodai.Dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao safi Sugu lazima tuwajali wake zetu
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la SuguView attachment 343819