Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Hapo hom kwa sugu napajua..
Si ni kule ubungo maziwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hom kwa sugu napajua..
Kajinunulia mwenyewe Ila anataka kujifanya kanunuliwa an sugu..yeye ndio anamuhonga sugu, sugu huwa hatoi hela kwa mwanamke hata iwaje,. Huyo dada ndio anagharamia vitu vingi vya sugu,. Wema wanna be,sioni tofauti yake na faiza angekuwa mstaarabu asingekuwa anamtukana faiza kwa account fake..like faiza like happy. Ziro brain.
NopSi ni kule ubungo maziwa.
HUYU SUGU HARUDI TENA BUNGENI...NDIO ANAJIPANGA NA KUCHUKUA VYAKE.. ANAJENGA HOTELI YA KIFAHARI.. ANANUNULIA MADEMU MAGARI... KWA SPEED YA MAGUFULI UCHAGUZI UJAO LAZIMA WAZISOME NAMBA HAWA WAJAMAA WA VIDOLE VIDOLE VIWILI NA WAZUNGUSHA MIKONO....HAHA JOKE!!!!Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la SuguView attachment 343819
Wivu, kazi ya mbunge sio kulisha wana jimbo lake bali ni kuisimamia serikali iweze kutimiza ahadi za kuwapa maendeleo wananchi wake, kama ni kulisha jimbo JK na Ridhiwani wamebadilisha nini pale chalinze? Hata dawati tu la mwanafunzi ni shida, Muacheni Sugu aishi maisha yake . "SUGU MOTO CHINI".Sidhani kama Sugu anajua maana ya kuwa kiongozi...hizi show off zinafanywa na Wasanii, Wanamichezo au Wanajamii wengine lakini sio mtu aliyesimama jukwaani na kuiaminisha jamii yake kuwa amekuja kuwatumikia alafu yeye anaishi sayari nyingine.
Huku ni sawa na wanao wanakupigia simu wana njaa nyumbani baba unatuma picha upo Kempinski unafanya party ya birthday.
Mi nilidhani uongozi ni kujinyima....
Kule Nertheland Waziri anatumia baiskeli huku kwetu Mbunge anagawa zawadi ya Gari kwa girlfriend.
Duuuuuh, ndio kwanza leo nimejua kuwa Lexus Harrier ni gari ya kifahari.( kwa mujibu wa mleta mada)
Sidhani kama Sugu anajua maana ya kuwa kiongozi...hizi show off zinafanywa na Wasanii, Wanamichezo au Wanajamii wengine lakini sio mtu aliyesimama jukwaani na kuiaminisha jamii yake kuwa amekuja kuwatumikia alafu yeye anaishi sayari nyingine.
Huku ni sawa na wanao wanakupigia simu wana njaa nyumbani baba unatuma picha upo Kempinski unafanya party ya birthday.
Mi nilidhani uongozi ni kujinyima....
Kule Nertheland Waziri anatumia baiskeli huku kwetu Mbunge anagawa zawadi ya Gari kwa girlfriend.
Hata awamu iliyopita mlisema hivyo hivyo lakini sasa ndie mbunge aliepata kura nyingi kuliko wabunge wote, na kama ingekuwa wingi wa kura ndio kuongoza bunge leo Sugu ndio angekuwa spika wa bunge, kusema kuwa kasi ya Magufuli haitamrudisha bungeni kwani magufuli anashindana mbio na mbunge akimshinda ndio anakuwa mmbunge? Huyu ndio chaguo la watu wa Mbeya we kaa hapo kusubiri alinacha mwinzio ndio huyu unaendelea kumuhesabia mafanikio.HUYU SUGU HARUDI TENA BUNGENI...NDIO ANAJIPANGA NA KUCHUKUA VYAKE.. ANAJENGA HOTELI YA KIFAHARI.. ANANUNULIA MADEMU MAGARI... KWA SPEED YA MAGUFULI UCHAGUZI UJAO LAZIMA WAZISOME NAMBA HAWA WAJAMAA WA VIDOLE VIDOLE VIWILI NA WAZUNGUSHA MIKONO....HAHA JOKE!!!!
ni vali la usiku kwenye party, hakuwa ofisini wala kanisani au msikitini alivaa vazi linaloendana na wakati huo wa sherehe za kuzaliwa ambazo kwa mazingira ya hiyo picha ilikuwa ni sikuKivazi hakiendani na mbunge
Hapo unatetea utapeli...hawa watu ukiwakuta wanavyoomba kura, wanavyobembeleza na kupiga magoti ili tu kuwaaminisha wenzao kuwa wataishi dunia moja.Wivu, kazi ya mbunge sio kulisha wana jimbo lake bali ni kuisimamia serikali iweze kutimiza ahadi za kuwapa maendeleo wananchi wake, kama ni kulisha jimbo JK na Ridhiwani wamebadilisha nini pale chalinze? Hata dawati tu la mwanafunzi ni shida, Muacheni Sugu aishi maisha yake . "SUGU MOTO CHINI".
Sitetei ila sugu hajala hela za mfuko wa jimbo, wananchi wanapata huduma kawa kawaida, hivi wakati ule JK alivyokuwa anaenda nje ya nchi kubembea, mbona hamkulisema kama hili la sugu? Nchi hii haina bembea? Au alimaliza matatizo yetu ndio akaenda kubembea? Acheni viongozi waishi maisha yao binafsi, watu wana miradi yao na maisha yao lazima yaende, ina maana sugu kaanza kununua gari baada ya kuwa mbunge?Hapo unatetea utapeli...hawa watu ukiwakuta wanavyoomba kura, wanavyobembeleza na kupiga magoti ili tu kuwaaminisha wenzao kuwa wataishi dunia moja.
Hahahahaha mkuu umenichekesha kweliwivu wa kike umewajaa mpaka kwenye makalio yenu. tafuteni vyenu NYOOOOOOOOOOO!!! Msyyuuuuuuuuuuu!!!
Nenda wewe kamzawadie gari nzima,wala sikuulizi kwanini unamzungumzia mtu hasiohusika na hii mada.Diamond alimzawadia wema kibito kibovu
hii speed ya magufuli inawachanganya akili wengi.... wewe ni muosha makalio ya sugu kuanzia 2021 kibarua chako kitaota nyasi.. badala ya kuosha makalio utaishia kupumuliwa kwa juu maaani nazzwivu wa kike umewajaa mpaka kwenye makalio yenu. tafuteni vyenu NYOOOOOOOOOOO!!! Msyyuuuuuuuuuuu!!!
tofautisha awamu ya mkwere na hii ya tingatinga...kwa sasa jamaa hawana hoja kabisa.. also kwa kasi ya tingatinga akija kumnadi mbunge wa chama chake ni vigumu wananchi kumnyima kura.. ujue uchaguzi ujao tingatinga ataingia kwenye mbio za uchaguzi akiwa mwenyekiti wa chama so chama kitakua kisafi kabisa.. kifupi huyu jamaa na chama chake watasafishwa wote.. labda kidogo pale kaskazini wanaweza kuambulia viti viwili wakipendelewa saaana..Hata awamu iliyopita mlisema hivyo hivyo lakini sasa ndie mbunge aliepata kura nyingi kuliko wabunge wote, na kama ingekuwa wingi wa kura ndio kuongoza bunge leo Sugu ndio angekuwa spika wa bunge, kusema kuwa kasi ya Magufuli haitamrudisha bungeni kwani magufuli anashindana mbio na mbunge akimshinda ndio anakuwa mmbunge? Huyu ndio chaguo la watu wa Mbeya we kaa hapo kusubiri alinacha mwinzio ndio huyu unaendelea kumuhesabia mafanikio.
Acha kusemea mioyo ya watu, hivi unajua kuna watu ambao hawajaona la kuwafanya waamini hilo tinga tinga? Usifikiri kila mtu ana mtazamo ka wako.tofautisha awamu ya mkwere na hii ya tingatinga...kwa sasa jamaa hawana hoja kabisa.. also kwa kasi ya tingatinga akija kumnadi mbunge wa chama chake ni vigumu wananchi kumnyima kura.. ujue uchaguzi ujao tingatinga ataingia kwenye mbio za uchaguzi akiwa mwenyekiti wa chama so chama kitakua kisafi kabisa.. kifupi huyu jamaa na chama chake watasafishwa wote.. labda kidogo pale kaskazini wanaweza kuambulia viti viwili wakipendelewa saaana..
manin....aaaa mmejistukia kuwa kazi yenyu kuchungulia mambo ya walionacho. hii ndo tabu ya maskini akikujua kidogo tu.e
hii speed ya magufuli inawachanganya akili wengi.... wewe ni muosha makalio ya sugu kuanzia 2021 kibarua chako kitaota nyasi.. badala ya kuosha makalio utaishia kupumuliwa kwa juu maaani nazz