Pre GE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

Pre GE2025 Sugu apumua, Lucas Mwashambwa hatagombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aamua kumwachia Dr Tulia aendelee kuleta Maendeleo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jiwe Ndiyo Alisema, Sugu Nisugue
Haa Haaa Haa
 
Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.

Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu) Kupata mchecheto kwani anamuhofia Zaidi Lucas kuliko Dr Tulia.

Hata hivyo Lucas amesema yeye hana nia ya kugombea Ubunge na amejielekeza katika kuhakikisha DrTulia anashinda 2025.

Nawatakia Sabato Njema 😄😄
Sugu si habari tena hapa jiji,ni Bora akatulia mpaka Dada wa dunia utakaposema inatosha.vinginevyo atapoteza visenti vyake tu kwenye kampeni.2020 alitumia kilikuu kupiga kampeni,safari akijichanganya atatumia guta.Miaka 10 aliyoongoza jimbo inamtosha,hatuna historia ya mbunge kuongoza zaidi ya miaka 10 Mbeya jiji.aachie wenzie nao wajaribu bahati yao japo Wana Ccm hawatafanya makosa Yale tena
 
Back
Top Bottom