carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Ni chama cha kishamba sanaYani ccm ni debe tupu kabisa kukama watu na kubambikia kesi kwao ndio maendeleo pumbavu sana chama cha mambuzi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimesema kinafuatilia taarifa za kuchukuliwa kwa Katibu wake wa Kanda hiyo, Grece Shio, ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa polisi usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, imeeleza kuwa familia ya Shio ndiyo iliyomfikishia taarifa hiyo, huku hadi wakati wa kutolewa kwa taarifa hiyo kukiwa hakuna maelezo kuhusu kituo alikokuwa akishikiliwa au kosa linalohusishwa na kukamatwa kwake.
Mbilinyi amesema amewasiliana na mawakili wa chama hicho, Dickson Matata na Hekima Mwasipu, ili kusaidia kufuatilia suala hilo na kubaini alipo Shio pamoja na sababu za kuchukuliwa kwake.
Chanzo: Royal Tv
We ni jinga mpk aibu, Magufuli alikuwa mshamba na mbaguzi sanaWaliohusika kumuhujumu mwendazake mpaka kupelekea kifo chake sasaivi wanatumia kila nguvu kuhakikisha hawatoki madarakani kwasababu wanajua nini kitafata baada ya hapo
Wamepararaizi mfumo mzima wa serikali,wameua demokrasia nchini na utawala wa sheria,vyombo vyote vya ulinzi na usalama wamevihozi wao,wameua mfumo mzima wa mahakama wa kutenda hazi
Walichobakiza ni kuumiza watu,kuteka,kuua,kubambikia kesi tunaishi katika nchi ambayo kama vile haina uongozi inaendeshwa na remote..ila hakuna lililo na mwanzo na likakosa kua na mwisho ni kauli ya wahenga kwahiyo ni swala la muda tu
Mkatii sheria.nyie nyumbu. Shida ya chadema ni kutotii sheria za nchi, hakuna aliye juu ya sheria, mtashughulikiwa mpk mtii sheria bila shuruti. Kulialia huku hakuwasaidii na kamwe hamtapata uongozi wa nchi hii, mbinu zenu ni za kishamba sana
Ok.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimesema kinafuatilia taarifa za kuchukuliwa kwa Katibu wake wa Kanda hiyo, Grece Shio, ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa polisi usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam.