Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
mtoto bado mdogo sana miaka miwili umpokonye mama yake,huyu faiza kabeba mimba miezi tisa kazaa kwa uchungu,kanyonyesha. Pia watu wengi wanaomuhukumu wanamjua kupitia picha za mavazi yake na wakati yuko na sugu alikuwa akivaa aina hzo za mavaz iweje leo ndo sugu aonyeshe kujal baada ya kuambiwa achangie pesa za matumizi?huyo faiza angepewa onyo kwanza tuone kama angebadilika. Mbona faiza kalelewa kwenye familia yenye maadili ya kuvaa na hayuko hivyo???jaman mama wa kambo sio kwa mtt mdogo kias hiko kama yatima

hoja ya mtoto bado mdogo haina mashiko...wapo wanaozaliwa na mama anafariki wakati wa kujifungua so unashauri nao wauwawe wakalelewe na mama zao huko akhera au peponi?

Naamini bado wewe ni great thinker...get out of the box and start thinking about the box and the remaining fellas in it.
 
Hata hao waigizaji na wanamuziki huwa wanapelekana sana mahakamani kuhusu mambo ya custody.

Mfano mmoja tu wa haraka haraka ni Usher.

Usher alishinda kesi ya custody dhidi ya mkewe wa zamani.

Bofya hapo Usher Wins Custody Battle Against Tameka Foster

mkuu wanawake wengi wanashindwaga hizi kesi kwa sababu wanakua emotional zaid kuliko facts na kuithibitishia mahakama ukwel wa madai yao!!!!
 
ishu hapa siyo mavazi... Faiza alipewa muda wa kujitetea? Aliitwa kwa kesi ya madai kufika akakutana na ishu ya kunyang'anywa mtoto hii iko sawa? Kwa nini hawakumpa muda? Sugu ana sifa gani za kuitwa baba? Ikiwa hata hajui mtoto anakula nini na anasoma wapi ameshindwa kumuhudumia mtoto kipindi chote hicho na hiyo mahakama hawakuliona hilo wakakurupuka tu kumnyang'anya faiza mtoto. Kisa kaombwa kuchangia kodi ya nyumba. Lol kanichefua sana huyu sugu.

kwa faiza kushindwa kulipia kodi ya nyumba mpaka akaombe msaada wa kuchangiwa kodi na sugu ni ushahidi tosha kuwa maisha yamemshinda anahitaji kusaidiwa maana atatimuliwa nyumba aliyopanga na atamtesa mtoto kulala naye barabarani.....

Nadhani huna uzoefu na mahakama japo kidogo...mahakama inaangalia hoja zilizopo mezani. Hiyo ya kuomba massada wa kodi kama faiza aliisema ni point ya ushindi kwa sugu kuwa huyu hana uwezo wa kumlea mtoto na kwa picha zile za mitandaoni inaonyesha kabisa sasa mama sasha anajiuza na kuendekeza umalaya unaomuharibu mtoto kimaadili.

Mahakama suala la umri sio ishu...ndio maana ukiwa chizi au mentaly incapable mzazi wa kiume anapewa haki ya kumlea mwanae hata wa siku moja nini miaka miwili.

Jaribuni kufikiria kwa kutumia akili na musiendeshwe na mioyo ya huruma na "uanamke mwenzetu". Nimesoma post moja hapa mwanadada mmoja kaulizwa faiza angekuwa kazaa na kaka au mwanao wa kiume ungekubaliana na anayoyafanya ....akapinga kwa kishindo na kusema wangeshamnyanganya mtoto miaka mingi nyuma...

Yani kwa tabia za faiza hata mimba ya huyo mtoto alitakiwa anyanganywe apewe mtu wa kuilea ili mtoto asiwe poisoned tangia yupo tumboni.

Wekeni uanamke mwenzetu pembeni fikirieni kwa kutumia akili na uhalisia wa mambo.
 
hoja ya mtoto bado mdogo haina mashiko...wapo wanaozaliwa na mama anafariki wakati wa kujifungua so unashauri nao wauwawe wakalelewe na mama zao huko akhera au peponi?

Naamini bado wewe ni great thinker...get out of the box and start thinking about the box and the remaining fellas in it.
We mbona waongea kifo na mtu aliye hai??kila binaadam anamakosa,huyo dada anatakiwa arudishiwe mwanae,period!
 
ha ha ha,i have never seen such amount of stupidity in a single person in ma all life.

comon gay stop bitching and make some sense argument instead of throwing uselless insults here
Hivi hili neno limetumika sawa? Lakini ni lugha ya watu hiyo
 
kwa faiza kushindwa kulipia kodi ya nyumba mpaka akaombe msaada wa kuchangiwa kodi na sugu ni ushahidi tosha kuwa maisha yamemshinda anahitaji kusaidiwa maana atatimuliwa nyumba aliyopanga na atamtesa mtoto kulala naye barabarani.....

Nadhani huna uzoefu na mahakama japo kidogo...mahakama inaangalia hoja zilizopo mezani. Hiyo ya kuomba massada wa kodi kama faiza aliisema ni point ya ushindi kwa sugu kuwa huyu hana uwezo wa kumlea mtoto na kwa picha zile zaunau mitandaoni inaonyesha kabisa sasa mama sasha anajiuza na kuendekeza umalaya unaomuharibu mtoto kimaadili.

Mahakama suala la umri sio ishu...ndio maana ukiwa chizi au mentaly incapable mzazi wa kiume anapewa haki ya kumlea mwanae hata wa siku moja nini miaka miwili.

Jaribuni kufikiria kwa kutumia akili na musiendeshwe na mioyo ya huruma na "uanamke mwenzetu". Nimesoma post moja hapa mwanadada mmoja kaulizwa faiza angekuwa kazaa na kaka au mwanao wa kiume ungekubaliana na anayoyafanya ....akapinga kwa kishindo na kusema wangeshamnyanganya mtoto miaka mingi nyuma...

Yani kwa tabia za faiza hata mimba ya huyo mtoto alitakiwa anyanganywe apewe mtu wa kuilea ili mtoto asiwe poisoned tangia yupo tumboni.

Wekeni uanamke mwenzetu pembeni fikirieni kwa kutumia akili na uhalisia wa mambo.
Una uhakika kuwa faiza anajiuza? Unataka kuniaminisha Kuwa sugu hakustahili kutoa matumizi ya mtoto kwa sababu mtoto anakaa na mama yake? Kwa hiyo kitendo cha faiza kuomba matumizi ikawa kosa kuwa hana kipato cha kumuhudumia mtoto wake? Usitetee tu kwa kuwa ni mwanaume.
 
Una uhakika kuwa faiza anajiuza? Unataka kuniaminisha Kuwa sugu hakustahili kutoa matumizi ya mtoto kwa sababu mtoto anakaa na mama yake? Kwa hiyo kitendo cha faiza kuomba matumizi ikawa kosa kuwa hana kipato cha kumuhudumia mtoto wake? Usitetee tu kwa kuwa ni mwanaume.

SITETEI KWA SABABU NI MWANAUME...

natetea kwa sababu sugu kapeleka hoja mahakamani na kaitetea na kashinda...na ndio maana kila siku kwenye masuala ya kisheria mtuhumiwa huambiwa akae kimya maana anachoongea kinaweza kutumika dhidi yake mahakamani.

NITUMIE FURSA HII kuwashauri "wanawake wengi na wanaume wachache" wanaoendeshwa na emotions badala ya kufuata uhalisia wa mambo na hasa kisheria. muambieni huyo faiza akate rufaa kupinga hukumu ya yeye kunyimwa haki ya kulea mwanae. pia aandae utetezi na ushahidi utakao tumika kuonyesha kuwa yeye ni bora na anafaa zaidi ya mh. sugu kulea huyo mtoto.

kwa mfano....aeleze vyanzo vyake vya mapato ili mahakama imuamini na kumuona anao uwezo wa kumlea mtoto asilale au kufa kwa njaa.

aeleze mahakama kuwa alivyovaa pampas alikuwa anaigiza muvi ambayo bado haijatoka na apeleke mahakamani script za hiyo muvi zikionyesha kuwa actress atavaa pampas na kushoot scene ya birthday.
pia apeleke ushahidi mahakamani kuwa hizo post anazopost kwenye mitandao ya kijamii ni strategy ya marketing na kupata public attention as wamepanga kurelease double dvd siku zijazo...asisahau ushahidi wa hayo waliyoyapanga kupeleka mahakamani kama utetezi.

kuhusu yeye kuja na tuhuma kuwa sugu ni mlevi, mvuta bange mara alimtia mimba sita ya saba ndio hiyo kazaa navyo avipeleke mahakamani na ushahidi pia....kama anazo picha za sugu anapuliza mibhange mpaka nyumba inatoka moshi kama inaungua itamsaidia kushinda kesi.

pia mumshauri akae kimya kwa miezi kama sita aende mahakamani kuomba arejeshewe mtoto sasa amekuwa na kubadilika kitabia...akae kimya kweli na hasa kwenye mitandao na mtaani wawepo mashuhuda kuwa keshabadilika...atarudishiwa mtoto wake.

asanteni kwa kunisikiza nataraji mutamfikishia ujumbe huu "TEAM FAIZA MAJANGA"
 
[h=1]
FrOM UTURN BLOG
WANAWAKE WA MBEYA MSIMPIGIE KURA SUGU…. ETI KWA NINI MH.SUGU HAWEZI INGIA KWA MALKIA?
[/h] MANGE 38 COMMENTS JUN 25,2015 UNCATEGORIZED
Mie nimejitolea kumtafutia mama mzazi wa Sasha information zenye uhakika ambazo nae ataweza kutumia mahakamani na sio mahakamani tu hata mgombea wa CCM huko MBeya ataweza kuzitumia kwenye uchaguzi……Na hajaniomba wala nimejitolea tu.lolTuanze na swala na Mh. Sugu kutokuweza kutia mguu Uingereza.Eti alifanyaga nini jamani? mie naomba tuanzie hapo? hahahahahhaha…Siku Sugu akinishika mitama double double inanihusu…hahahahhahahahhaHivi kweli umpachike mwanamke mimba, umwache kama mbwa although Faiza aliondoka mwenyewe ila aliondoka kwa treatment mbaya si mnajua zile unaishi na mwanaume hakutaki anakutesa mpaka unasepa mwenyewe ndo zile…Mwanamke wa watu alee kitoto kichanga bila mwanaume,then out of nowhere mwanaume eti anaanza kukujudge wewe hufai kuwa mama sababu una vaa nguo za ajabu. Yeye ana mangapi mabaya zaidi ya mavazi ya mama mtu?Kuna mkosa maadili au mwenye roho mbaya kama mtu alietupa mtoto wake mwenyewe au kumkataa mtoto wake wa damu?Huyu Sugu ana mtoto mkubwa wa kiume, naskia alimtupa hamtaki,akamkataa kata kata .Huyo mtoto ni fundi garage maskini nilivyoambiwa watu wanaenda kumpiga picha leo. Turushe humu .Mumuone mtoto wa mbunge alivyochoka na magrisi hutoamini baba yake ni mbunge maskini…Sasa Sugu kwa huyo wa Faiza ndo anajiona baba mbona alitupa mtoto? Wananchi tunasema akamchukue yule kwanza ampeleke shule ndo aje kumfata wa Faiza…Alisilete mchezo…..Kuna watu eti wanamtetea Sugu eti kuna wababa wengine hawataki watoto bora Sugu anataka mtoto wake. Hivi nyie mbona mnakuwa wagumu kuelewa?tena kwa lugha ya kiswahili jamani? Sugu kilichomfanya kwenda kudai mtoto wala sio mavazi ya mama yake au mapenzi kwa mwanae, sababu ni Faiza alianza kumdai pesa za kodi, na message anazo alikuwa anadai kodi,.Sugu kwa vile hakutaka kumpa pesa ndo akaona amchukue mtoto. Angekuwa ni baba kweli anaependa watoto kama wachache wanavyodhani mbona alikataa mtoto wake wa kwanza tena wakiume ?na Mungu alivyo na makusudi mtoto unaambiwa katoka Sugu mtupu huitaji hata DNA testing……Jamani wanawake tuungane,wanawake wa MBEYA huyu baba msimpigie kura na siku ya kupiga kura waume zenu wapeni hata dawa za usingizi wasiende kupiga kura.Huyu lazma akose ubunge arudi kuimba bongo flava akakumbane na kina Ruge na Clouds yao wale ndo kiboko yake…..Kiongozi gani anatupa watoto? Kingozi gani anakataa watoto? So anachagua mtoto yupi anamtaka na yupi hamtaki? ndo kiongozi huyo?Hivi huyu Sugu atawafanyia nini watu wa Mbeya wakati mtoto wake wa damu kamkataaa nyie watu wa Mbeya ndo atawapenda???Huyu baba ni mnyanyasaji wa kijinsia, kanyanyasa wanawake kibao wakiongozwa na SHYROSE BANJI. Tena unaambiwa Huyu baba yeye hajui hata kumwambia mwanamke its over. Kama ni nchi anahama zake utamtafuta mpaka ushae ,hapokei simu hajibu message, utaona tu yuko na mwenzio ndo ujue its over. In short Sugu ni mnyama.Hivi wanaume wana roho mbaya hivi utadhani hatujawazaa sisi jamani? Hivi mtu jamani umkatae mwanamke ambae anakupenda, mwanamke anakuomba muwe pamoja bado humtaki.Dada wa watu anaishi maisha ya kuumia roho basi angalau mtoto anamliza mama yake ila mwanaume anaona bado hajakuumiza vizuri anataka na hiko hiko kimoja ulichobaki nacho.Na mtoto anamtaka.Hivi mnataka mwanamke anywe sumu ajiue ndo mfurahi…Jamani wanawake tumsaidie Faiza kwa hali na mali na kesi yake ikianza muwe mnanenda mahakama kushow love..Mgombea wa CCM huko Mbeya awaeleweshe wananchi jinsi Sugu alivyotupa mtoto wake wa damu na unyanyasaji anaomfanyia FAIZA…. eeeh ndo akapumzikeeeee…… Faiza keshapata wakili mzuri yeye mwenyewe ana imani nae na keshamlipa ndo wana file appeal. Kasema kifedha sasa hivi yuko poa. Akifika sehemu akakwama na kuhitaji msaada wetu basi atatuambia na atatoa number yake ya mpesa ntaweka humu tumchangie pesa ili aweze kuwa na uwezo wa kujiwakilisha kama Sugu…Yani awe na lawyer wa maana kama wa Sugu ndo kitaeleweka mahakamani…..Ila kwa sasa ana Lawyer mzuri tu….Jamani yoyote mwenye information kuhusu Sugu ambayo anaona itamsaidia Faiza mahakamani kushinda tafadhali naomba unitumie kwa email: mangekimambi@hotmail.com .tunaomba information zenye ushahidi kama vile wa picha au mtu ambae atakubali kuongea mahakamani.Again email ni mangekimambi@hotmail.com…Na kuhusu kwanini huyu kiongozi wenu haruhusiwi kuingia kwa malkia ntawaletea siku nyingine….hahahahahha…Sasa sijui hakimu akipewa hii info bado atasema Faiza hafai…lol..JAMANI TUELEWANE KUWA RESULT TUNAYOITAKA MAHAKAMANI NI KWAMBA SUGU AANZE KUTOA MONTHLY CHILD SUPPORT NA MTOTO ABAKI NA MAMA YAKE. YES ATOE CHILD SUPPORT KILA MWEZI APANGIWE MAHAKAMANI PESA YA KUTOA KILA MWEZI KUTOKA NA MSHAHARA WAKE WA BUNGENI. NA MISHAHARA YA BUNGENI INAJULIKANA…YANI SUGU INABIDI AFANYWE MFANO KWA WANAUME WOTE WANAOJIFANYA WAKIDAIWA CHLID SUPPORT ETI NDO WANATAKA WATOTO.YANI WANAONA KUTOA CHILD SUPPORT KAMA KUMPA EX WAKE PESA. INABIDI TUWAFUNZE NOW KUWA CHILD SUPPORT WANATAKIWA KUTOA NA MTOTO ATAKAA NA MAMAKE TU…SUGU'S CV – HAHAHAHAHAHAHAAHHAHA-KWI KWI KWI KWI KWI
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 14%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Hon.[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]Chama cha Demokrasia na Maendeleo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Active[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member – Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




40

READ MORE
 
We mbona waongea kifo na mtu aliye hai??kila binaadam anamakosa,huyo dada anatakiwa arudishiwe mwanae,period!

Hivi ili neno "period" huwa linamaanisha nini? Ni Ile ninayo jua mimi ya jotoridi la wanawake? Maana naona linashika kasi sana katika matumizi ya swanglish hapa bongo.
 
Hivi ili neno "period" huwa linamaanisha nini? Ni Ile ninayo jua mimi ya jotoridi la wanawake? Maana naona linashika kasi sana katika matumizi ya swanglish hapa bongo.

Hahahahaaaaaa nmekupa homework mkuu katafute majibu✋
 
= ladha

Dhana yako si sahihi. Unaweza mfananisha yule kinyangarakata na mama'ko? mama'ko anaweza kwenda kuvaa nepi na kujianika robo tatu utupu mbele ya halaiki ya watu namna hii:


Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers​

Faiza bwana, wewe neno mama yako naona rahisi sana kulitamka. Ukitukana siku zote huwa ni mama yako, mfano mbaya kwako ni mama yako, kila jambo hasi unalotaka kumjibu mwana JF aliyekukera wewe ni mama yako. Una tatizo gani wewe? Au mama yako alikutupa jalalani au kukutelekeza nini ulipozaliwa, hivyo kukufanya uwe na issue za kisaikolojia na mama za wengine?
 
[h=1]
FrOM UTURN BLOG
WANAWAKE WA MBEYA MSIMPIGIE KURA SUGU…. ETI KWA NINI MH.SUGU HAWEZI INGIA KWA MALKIA?
[/h] MANGE 38 COMMENTS JUN 25,2015 UNCATEGORIZED
Mie nimejitolea kumtafutia mama mzazi wa Sasha information zenye uhakika ambazo nae ataweza kutumia mahakamani na sio mahakamani tu hata mgombea wa CCM huko MBeya ataweza kuzitumia kwenye uchaguzi……Na hajaniomba wala nimejitolea tu.lolTuanze na swala na Mh. Sugu kutokuweza kutia mguu Uingereza.Eti alifanyaga nini jamani? mie naomba tuanzie hapo? hahahahahhaha…Siku Sugu akinishika mitama double double inanihusu…hahahahhahahahhaHivi kweli umpachike mwanamke mimba, umwache kama mbwa although Faiza aliondoka mwenyewe ila aliondoka kwa treatment mbaya si mnajua zile unaishi na mwanaume hakutaki anakutesa mpaka unasepa mwenyewe ndo zile…Mwanamke wa watu alee kitoto kichanga bila mwanaume,then out of nowhere mwanaume eti anaanza kukujudge wewe hufai kuwa mama sababu una vaa nguo za ajabu. Yeye ana mangapi mabaya zaidi ya mavazi ya mama mtu?Kuna mkosa maadili au mwenye roho mbaya kama mtu alietupa mtoto wake mwenyewe au kumkataa mtoto wake wa damu?Huyu Sugu ana mtoto mkubwa wa kiume, naskia alimtupa hamtaki,akamkataa kata kata .Huyo mtoto ni fundi garage maskini nilivyoambiwa watu wanaenda kumpiga picha leo. Turushe humu .Mumuone mtoto wa mbunge alivyochoka na magrisi hutoamini baba yake ni mbunge maskini…Sasa Sugu kwa huyo wa Faiza ndo anajiona baba mbona alitupa mtoto? Wananchi tunasema akamchukue yule kwanza ampeleke shule ndo aje kumfata wa Faiza…Alisilete mchezo…..Kuna watu eti wanamtetea Sugu eti kuna wababa wengine hawataki watoto bora Sugu anataka mtoto wake. Hivi nyie mbona mnakuwa wagumu kuelewa?tena kwa lugha ya kiswahili jamani? Sugu kilichomfanya kwenda kudai mtoto wala sio mavazi ya mama yake au mapenzi kwa mwanae, sababu ni Faiza alianza kumdai pesa za kodi, na message anazo alikuwa anadai kodi,.Sugu kwa vile hakutaka kumpa pesa ndo akaona amchukue mtoto. Angekuwa ni baba kweli anaependa watoto kama wachache wanavyodhani mbona alikataa mtoto wake wa kwanza tena wakiume ?na Mungu alivyo na makusudi mtoto unaambiwa katoka Sugu mtupu huitaji hata DNA testing……Jamani wanawake tuungane,wanawake wa MBEYA huyu baba msimpigie kura na siku ya kupiga kura waume zenu wapeni hata dawa za usingizi wasiende kupiga kura.Huyu lazma akose ubunge arudi kuimba bongo flava akakumbane na kina Ruge na Clouds yao wale ndo kiboko yake…..Kiongozi gani anatupa watoto? Kingozi gani anakataa watoto? So anachagua mtoto yupi anamtaka na yupi hamtaki? ndo kiongozi huyo?Hivi huyu Sugu atawafanyia nini watu wa Mbeya wakati mtoto wake wa damu kamkataaa nyie watu wa Mbeya ndo atawapenda???Huyu baba ni mnyanyasaji wa kijinsia, kanyanyasa wanawake kibao wakiongozwa na SHYROSE BANJI. Tena unaambiwa Huyu baba yeye hajui hata kumwambia mwanamke its over. Kama ni nchi anahama zake utamtafuta mpaka ushae ,hapokei simu hajibu message, utaona tu yuko na mwenzio ndo ujue its over. In short Sugu ni mnyama.Hivi wanaume wana roho mbaya hivi utadhani hatujawazaa sisi jamani? Hivi mtu jamani umkatae mwanamke ambae anakupenda, mwanamke anakuomba muwe pamoja bado humtaki.Dada wa watu anaishi maisha ya kuumia roho basi angalau mtoto anamliza mama yake ila mwanaume anaona bado hajakuumiza vizuri anataka na hiko hiko kimoja ulichobaki nacho.Na mtoto anamtaka.Hivi mnataka mwanamke anywe sumu ajiue ndo mfurahi…Jamani wanawake tumsaidie Faiza kwa hali na mali na kesi yake ikianza muwe mnanenda mahakama kushow love..Mgombea wa CCM huko Mbeya awaeleweshe wananchi jinsi Sugu alivyotupa mtoto wake wa damu na unyanyasaji anaomfanyia FAIZA…. eeeh ndo akapumzikeeeee…… Faiza keshapata wakili mzuri yeye mwenyewe ana imani nae na keshamlipa ndo wana file appeal. Kasema kifedha sasa hivi yuko poa. Akifika sehemu akakwama na kuhitaji msaada wetu basi atatuambia na atatoa number yake ya mpesa ntaweka humu tumchangie pesa ili aweze kuwa na uwezo wa kujiwakilisha kama Sugu…Yani awe na lawyer wa maana kama wa Sugu ndo kitaeleweka mahakamani…..Ila kwa sasa ana Lawyer mzuri tu….Jamani yoyote mwenye information kuhusu Sugu ambayo anaona itamsaidia Faiza mahakamani kushinda tafadhali naomba unitumie kwa email: mangekimambi@hotmail.com .tunaomba information zenye ushahidi kama vile wa picha au mtu ambae atakubali kuongea mahakamani.Again email ni mangekimambi@hotmail.com…Na kuhusu kwanini huyu kiongozi wenu haruhusiwi kuingia kwa malkia ntawaletea siku nyingine….hahahahahha…Sasa sijui hakimu akipewa hii info bado atasema Faiza hafai…lol..JAMANI TUELEWANE KUWA RESULT TUNAYOITAKA MAHAKAMANI NI KWAMBA SUGU AANZE KUTOA MONTHLY CHILD SUPPORT NA MTOTO ABAKI NA MAMA YAKE. YES ATOE CHILD SUPPORT KILA MWEZI APANGIWE MAHAKAMANI PESA YA KUTOA KILA MWEZI KUTOKA NA MSHAHARA WAKE WA BUNGENI. NA MISHAHARA YA BUNGENI INAJULIKANA…YANI SUGU INABIDI AFANYWE MFANO KWA WANAUME WOTE WANAOJIFANYA WAKIDAIWA CHLID SUPPORT ETI NDO WANATAKA WATOTO.YANI WANAONA KUTOA CHILD SUPPORT KAMA KUMPA EX WAKE PESA. INABIDI TUWAFUNZE NOW KUWA CHILD SUPPORT WANATAKIWA KUTOA NA MTOTO ATAKAA NA MAMAKE TU…SUGU’S CV – HAHAHAHAHAHAHAAHHAHA-KWI KWI KWI KWI KWI
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 14%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Hon.[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1644.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]Chama cha Demokrasia na Maendeleo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Active[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member – Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




40

READ MORE

Mange ni mnafiki sana huyu mwanamke, yeye kasahau alivyoenda kumbwaga mwanae aliezaa na frank gonga nyumbani kwa mama mzazi wa frank? Mtoto kakaa na babaake miaka 10 yeye ni kujirusha na kufanya umalaya tuu.....frank kamchukua mtoto kwenda kuishi nae Uingereza ndio akastuka na kuanza kulia akaenda ubalozini kumchongea frank ili mtoto arudishwe lkn akashindwa. .....Frank kampa mange mtoto akiwa mkubwa tena kwa sababu ni mtoto wa kike na frank alikuwa anaishi peke yake.
Yaani mange ni anyamaze maana yeye ndio mnafiki namba moja. Atamsaidia nini faiza wkt mtoto wake mwenyewe tu ana mapenzi mazito na babaake kuliko yeye? Shwain kabisa
 
Kama mwanamke mwenyewe ndio yule niliyemuona matako wazi kweny kili award basi sugu na mahakama wapo sahihi
 
Pata picha mama yako anaandika mtandaoni kamiss SEX aisee Kama mim nitataman ardhi ipasuke nijifiche

BOra alivyopokonywa mtoto, yule mwanamke hana akili, anataka kumdhalilisha sugu, niliwahi kumsikia kwenye interview ya zamaradi yani hamna kitu, akili hana kbisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom