Kwani faiza ni shughuli gani hasa inayomuweka mjini?
Kwa hizo mapigo zake tu, huoni kuwa yupo kazin!
wake wa mastaa wengi wa bongo star na movie wako design ya fauzia
mtoto bado mdogo sana miaka miwili umpokonye mama yake,huyu faiza kabeba mimba miezi tisa kazaa kwa uchungu,kanyonyesha. Pia watu wengi wanaomuhukumu wanamjua kupitia picha za mavazi yake na wakati yuko na sugu alikuwa akivaa aina hzo za mavaz iweje leo ndo sugu aonyeshe kujal baada ya kuambiwa achangie pesa za matumizi?huyo faiza angepewa onyo kwanza tuone kama angebadilika. Mbona faiza kalelewa kwenye familia yenye maadili ya kuvaa na hayuko hivyo???jaman mama wa kambo sio kwa mtt mdogo kias hiko kama yatima
Hata hao waigizaji na wanamuziki huwa wanapelekana sana mahakamani kuhusu mambo ya custody.
Mfano mmoja tu wa haraka haraka ni Usher.
Usher alishinda kesi ya custody dhidi ya mkewe wa zamani.
Bofya hapo Usher Wins Custody Battle Against Tameka Foster
ishu hapa siyo mavazi... Faiza alipewa muda wa kujitetea? Aliitwa kwa kesi ya madai kufika akakutana na ishu ya kunyang'anywa mtoto hii iko sawa? Kwa nini hawakumpa muda? Sugu ana sifa gani za kuitwa baba? Ikiwa hata hajui mtoto anakula nini na anasoma wapi ameshindwa kumuhudumia mtoto kipindi chote hicho na hiyo mahakama hawakuliona hilo wakakurupuka tu kumnyang'anya faiza mtoto. Kisa kaombwa kuchangia kodi ya nyumba. Lol kanichefua sana huyu sugu.
Haaaaaaa huyu Faiza muda mwinginee
We mbona waongea kifo na mtu aliye hai??kila binaadam anamakosa,huyo dada anatakiwa arudishiwe mwanae,period!hoja ya mtoto bado mdogo haina mashiko...wapo wanaozaliwa na mama anafariki wakati wa kujifungua so unashauri nao wauwawe wakalelewe na mama zao huko akhera au peponi?
Naamini bado wewe ni great thinker...get out of the box and start thinking about the box and the remaining fellas in it.
Hivi hili neno limetumika sawa? Lakini ni lugha ya watu hiyoha ha ha,i have never seen such amount of stupidity in a single person in ma all life.
comon gay stop bitching and make some sense argument instead of throwing uselless insults here
Una uhakika kuwa faiza anajiuza? Unataka kuniaminisha Kuwa sugu hakustahili kutoa matumizi ya mtoto kwa sababu mtoto anakaa na mama yake? Kwa hiyo kitendo cha faiza kuomba matumizi ikawa kosa kuwa hana kipato cha kumuhudumia mtoto wake? Usitetee tu kwa kuwa ni mwanaume.kwa faiza kushindwa kulipia kodi ya nyumba mpaka akaombe msaada wa kuchangiwa kodi na sugu ni ushahidi tosha kuwa maisha yamemshinda anahitaji kusaidiwa maana atatimuliwa nyumba aliyopanga na atamtesa mtoto kulala naye barabarani.....
Nadhani huna uzoefu na mahakama japo kidogo...mahakama inaangalia hoja zilizopo mezani. Hiyo ya kuomba massada wa kodi kama faiza aliisema ni point ya ushindi kwa sugu kuwa huyu hana uwezo wa kumlea mtoto na kwa picha zile zaunau mitandaoni inaonyesha kabisa sasa mama sasha anajiuza na kuendekeza umalaya unaomuharibu mtoto kimaadili.
Mahakama suala la umri sio ishu...ndio maana ukiwa chizi au mentaly incapable mzazi wa kiume anapewa haki ya kumlea mwanae hata wa siku moja nini miaka miwili.
Jaribuni kufikiria kwa kutumia akili na musiendeshwe na mioyo ya huruma na "uanamke mwenzetu". Nimesoma post moja hapa mwanadada mmoja kaulizwa faiza angekuwa kazaa na kaka au mwanao wa kiume ungekubaliana na anayoyafanya ....akapinga kwa kishindo na kusema wangeshamnyanganya mtoto miaka mingi nyuma...
Yani kwa tabia za faiza hata mimba ya huyo mtoto alitakiwa anyanganywe apewe mtu wa kuilea ili mtoto asiwe poisoned tangia yupo tumboni.
Wekeni uanamke mwenzetu pembeni fikirieni kwa kutumia akili na uhalisia wa mambo.
Una uhakika kuwa faiza anajiuza? Unataka kuniaminisha Kuwa sugu hakustahili kutoa matumizi ya mtoto kwa sababu mtoto anakaa na mama yake? Kwa hiyo kitendo cha faiza kuomba matumizi ikawa kosa kuwa hana kipato cha kumuhudumia mtoto wake? Usitetee tu kwa kuwa ni mwanaume.
We mbona waongea kifo na mtu aliye hai??kila binaadam anamakosa,huyo dada anatakiwa arudishiwe mwanae,period!
Hivi ili neno "period" huwa linamaanisha nini? Ni Ile ninayo jua mimi ya jotoridi la wanawake? Maana naona linashika kasi sana katika matumizi ya swanglish hapa bongo.
[h=1]
FrOM UTURN BLOG
WANAWAKE WA MBEYA MSIMPIGIE KURA SUGU . ETI KWA NINI MH.SUGU HAWEZI INGIA KWA MALKIA?[/h] MANGE 38 COMMENTS JUN 25,2015 UNCATEGORIZED
[TABLE="width: 100%"]Mie nimejitolea kumtafutia mama mzazi wa Sasha information zenye uhakika ambazo nae ataweza kutumia mahakamani na sio mahakamani tu hata mgombea wa CCM huko MBeya ataweza kuzitumia kwenye uchaguzi Na hajaniomba wala nimejitolea tu.lolTuanze na swala na Mh. Sugu kutokuweza kutia mguu Uingereza.Eti alifanyaga nini jamani? mie naomba tuanzie hapo? hahahahahhaha Siku Sugu akinishika mitama double double inanihusu hahahahhahahahhaHivi kweli umpachike mwanamke mimba, umwache kama mbwa although Faiza aliondoka mwenyewe ila aliondoka kwa treatment mbaya si mnajua zile unaishi na mwanaume hakutaki anakutesa mpaka unasepa mwenyewe ndo zile Mwanamke wa watu alee kitoto kichanga bila mwanaume,then out of nowhere mwanaume eti anaanza kukujudge wewe hufai kuwa mama sababu una vaa nguo za ajabu. Yeye ana mangapi mabaya zaidi ya mavazi ya mama mtu?Kuna mkosa maadili au mwenye roho mbaya kama mtu alietupa mtoto wake mwenyewe au kumkataa mtoto wake wa damu?Huyu Sugu ana mtoto mkubwa wa kiume, naskia alimtupa hamtaki,akamkataa kata kata .Huyo mtoto ni fundi garage maskini nilivyoambiwa watu wanaenda kumpiga picha leo. Turushe humu .Mumuone mtoto wa mbunge alivyochoka na magrisi hutoamini baba yake ni mbunge maskini Sasa Sugu kwa huyo wa Faiza ndo anajiona baba mbona alitupa mtoto? Wananchi tunasema akamchukue yule kwanza ampeleke shule ndo aje kumfata wa Faiza Alisilete mchezo ..Kuna watu eti wanamtetea Sugu eti kuna wababa wengine hawataki watoto bora Sugu anataka mtoto wake. Hivi nyie mbona mnakuwa wagumu kuelewa?tena kwa lugha ya kiswahili jamani? Sugu kilichomfanya kwenda kudai mtoto wala sio mavazi ya mama yake au mapenzi kwa mwanae, sababu ni Faiza alianza kumdai pesa za kodi, na message anazo alikuwa anadai kodi,.Sugu kwa vile hakutaka kumpa pesa ndo akaona amchukue mtoto. Angekuwa ni baba kweli anaependa watoto kama wachache wanavyodhani mbona alikataa mtoto wake wa kwanza tena wakiume ?na Mungu alivyo na makusudi mtoto unaambiwa katoka Sugu mtupu huitaji hata DNA testing Jamani wanawake tuungane,wanawake wa MBEYA huyu baba msimpigie kura na siku ya kupiga kura waume zenu wapeni hata dawa za usingizi wasiende kupiga kura.Huyu lazma akose ubunge arudi kuimba bongo flava akakumbane na kina Ruge na Clouds yao wale ndo kiboko yake ..Kiongozi gani anatupa watoto? Kingozi gani anakataa watoto? So anachagua mtoto yupi anamtaka na yupi hamtaki? ndo kiongozi huyo?Hivi huyu Sugu atawafanyia nini watu wa Mbeya wakati mtoto wake wa damu kamkataaa nyie watu wa Mbeya ndo atawapenda???Huyu baba ni mnyanyasaji wa kijinsia, kanyanyasa wanawake kibao wakiongozwa na SHYROSE BANJI. Tena unaambiwa Huyu baba yeye hajui hata kumwambia mwanamke its over. Kama ni nchi anahama zake utamtafuta mpaka ushae ,hapokei simu hajibu message, utaona tu yuko na mwenzio ndo ujue its over. In short Sugu ni mnyama.Hivi wanaume wana roho mbaya hivi utadhani hatujawazaa sisi jamani? Hivi mtu jamani umkatae mwanamke ambae anakupenda, mwanamke anakuomba muwe pamoja bado humtaki.Dada wa watu anaishi maisha ya kuumia roho basi angalau mtoto anamliza mama yake ila mwanaume anaona bado hajakuumiza vizuri anataka na hiko hiko kimoja ulichobaki nacho.Na mtoto anamtaka.Hivi mnataka mwanamke anywe sumu ajiue ndo mfurahi Jamani wanawake tumsaidie Faiza kwa hali na mali na kesi yake ikianza muwe mnanenda mahakama kushow love..Mgombea wa CCM huko Mbeya awaeleweshe wananchi jinsi Sugu alivyotupa mtoto wake wa damu na unyanyasaji anaomfanyia FAIZA . eeeh ndo akapumzikeeeee Faiza keshapata wakili mzuri yeye mwenyewe ana imani nae na keshamlipa ndo wana file appeal. Kasema kifedha sasa hivi yuko poa. Akifika sehemu akakwama na kuhitaji msaada wetu basi atatuambia na atatoa number yake ya mpesa ntaweka humu tumchangie pesa ili aweze kuwa na uwezo wa kujiwakilisha kama Sugu Yani awe na lawyer wa maana kama wa Sugu ndo kitaeleweka mahakamani ..Ila kwa sasa ana Lawyer mzuri tu .Jamani yoyote mwenye information kuhusu Sugu ambayo anaona itamsaidia Faiza mahakamani kushinda tafadhali naomba unitumie kwa email: mangekimambi@hotmail.com .tunaomba information zenye ushahidi kama vile wa picha au mtu ambae atakubali kuongea mahakamani.Again email ni mangekimambi@hotmail.com Na kuhusu kwanini huyu kiongozi wenu haruhusiwi kuingia kwa malkia ntawaletea siku nyingine .hahahahahha Sasa sijui hakimu akipewa hii info bado atasema Faiza hafai lol..JAMANI TUELEWANE KUWA RESULT TUNAYOITAKA MAHAKAMANI NI KWAMBA SUGU AANZE KUTOA MONTHLY CHILD SUPPORT NA MTOTO ABAKI NA MAMA YAKE. YES ATOE CHILD SUPPORT KILA MWEZI APANGIWE MAHAKAMANI PESA YA KUTOA KILA MWEZI KUTOKA NA MSHAHARA WAKE WA BUNGENI. NA MISHAHARA YA BUNGENI INAJULIKANA YANI SUGU INABIDI AFANYWE MFANO KWA WANAUME WOTE WANAOJIFANYA WAKIDAIWA CHLID SUPPORT ETI NDO WANATAKA WATOTO.YANI WANAONA KUTOA CHILD SUPPORT KAMA KUMPA EX WAKE PESA. INABIDI TUWAFUNZE NOW KUWA CHILD SUPPORT WANATAKIWA KUTOA NA MTOTO ATAKAA NA MAMAKE TU SUGUS CV HAHAHAHAHAHAHAAHHAHA-KWI KWI KWI KWI KWI
[TR]
[TD="width: 14%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Hon.[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Osmund[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Joseph[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mbilinyi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Mbeya Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]Chama cha Demokrasia na Maendeleo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 815, Mbeya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 716 627344[/TD]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]jmbilinyi@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Active[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 May 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Sisimba Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ligula Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sokoine Primary School[/TD]
[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabasaba Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member Mbeya Urban Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BP Tanzania Limited[/TD]
[TD]Security Officer[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Self Employed[/TD]
[TD]Celebrity[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
40
READ MORE
Pata picha mama yako anaandika mtandaoni kamiss SEX aisee Kama mim nitataman ardhi ipasuke nijifiche