Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Mwenyez mungu tujalie tupate wake bora manake hawa wa leo hawajui kabsa nn maana halisi ya Malezi ..sugu chukua mtoto
 
Toka mwanzo nilihisi yule mtoto ni kitega uchumi cha kumnyonja sugu sasa mtoto amenyanganywa na mwenye mtoto yule mtoto sio wa faiza bali ni wa sugu, mkumbuke kuwa nyie mnaomtetea huyo anayechukua pampers za mtoto alizopeleka sugu na kuvaa yeye mnapoteza muda wenu mwenye mbwa amechukua mali yake
 
Aliyesema mwanamke ni nyoka hakukosea....Tabia kama hizi anazoonyeshesha huyo mama sikutegemea kama atakuwa na uchungu wa Mtoto na huruma ya Mtoto... Acha apate fundisho
 
 
Last edited by a moderator:
@Limano naona sasa hili jambo limekuwa too feministical! Ambapo kwangu siwezi kushindana nalo kwa maana hii imekuwa kampeni matata ya kuhakikisha kuonesha umma kuwa Sugu kakosea!
Nilitegemea wewe kama mwanamke ungeanza kwanza kuliona tatizo la Faiza then mkamshauri kwa umri wake na umama wake abadili mfumo wake wa maisha hasa kufanya mambo kama bado yupo under 18. Baada ya hapo ndio tuwe wa kwanza kudai Sugu amrudishe mwanae kwa Mama yake akiwa tayari mama akili zimemkaa.

Leo unamuona Sugu mbaya kwa kuyanusuru maisha ya mwanae kwa mama mwenye malezi mabaya wakati Faiza mwenyewe kakili kuwa atabadirika!, ni huyu huyu sugu ambaye kama angemuacha mwanawe alelewe na huyo bibi kijana mngekuwa wa kwanza kumshutumu kwa kutopay attention kwa mwanae. Hivi ndivyo waswahili tulivyo, hata ukiamua kutembea juu ya maji watu mtasema tu kuwa siwezi kuogelea!

Punguza hasira, ikiwa hayo yote Sugu hayajui angeenda kudai malezi ya mwanawe apewe? Mpenzi achani utimu sijui #Faizaarudishiwemtoto haisaiidii mbona wewe hubehave the way Faiza anavyofanya?
 
bora sugu umemwokoa mwanao huyo mwanamke hafai kabisa
 
Aliyesema mwanamke ni nyoka hakukosea....Tabia kama hizi anazoonyeshesha huyo mama sikutegemea kama atakuwa na uchungu wa Mtoto na huruma ya Mtoto... Acha apate fundisho
Halafu hapa kuna wanawake wanaojiona wakisasa wanamtetea Faiza!
 
Faiza inavyoonekana alianguka Chooni... Akili zake ni Diluted..

Kwanza kuzaa na mwanamke kama yule lazima awe na akili mbili kasorobo..

Hongera Sugu kwa kumuokoa dogo.
 
MH. SUGU ASHINDA
CUSTODY CASE
NDANI YA SIKU
1…….. MFANO HAI
WA UOZO WA
MAHAKAMA
ZETU…..
 MANGE  77
COMMENTS  JUN 24,2015
 UNCATEGORIZED
UPDATE:
Msikilize Faiza akiongea na clouds
FM…Roho imeniumaaaa…
Alafu huyu mpuuzi wa clouds FM
hivi ni upuuzi gani huu kafanya
unajua kambeza sana eti mavazi
yako ndo yamekuponza, aiseee
kwanini wanawake tunanyanyasika
hivi jamani… Huyu mtangazaji
kwanini aseme mavazi yamemponza?
kilichomponza Faiza ni kumwambia
Sugu atoe pesa za kumuhudumiwa
mwanae…
RUGE MUTAHABA Please sikiliza hii
clip ,you have a daughter now
imagine 20yrs from now mtangazaji
wa radio amtreat mwanao hivi?is this
profesional ??unajua kuna issue za
utani na kuna issue ambao
mtangazaji inabidi awe na roho ya
ubinadamu yani mwanamke analia
kwa uchungu kabisa machozi
mtangazaji anamuongelesha kishenzi
hivi?? Nimejikuta nalia.Yani
kamdhalilisha sana huyu
mwanamke….
RUGE PLEASE TUNAOMBA HUYU
MTANGAZAJI UMPE SUSPENSIONS
YA 1 MONTH… THIS IS
UNACCEPTABLE JAMANI….
Yani mwanamke anyanyasike hivi
kisa mavazi, mavazi jamani……
HAPANA AISEEEE.WE HAVE TO DO
SOMETHING…
Mwanamke kabeba mimba 9 months,
kwa uchungu kamzalia mwanaume
mtoto kwa vile anampenda.
Mwanaume still akamuacha dada wa
watu. Still hakutoa mimba yake
akaamua kumleta mwanae
duniani.Huyu mwanamke amekuwa
akimlea mtoto mwenyewe ,yuko very
involved na life ya mwanae, ni mama
haswaa. Huyu Sugu hajui hata the
name of the school ya mtoto, hakuna
hata mwalimu wa mtoto anaemjua
Sugu wanamjua mama yake, kila siku
asubuhi huyu dada anam drive
mwanae shule. Huyo sugu kawahi
hata kumdrop mtoto shule?Leo hii
ndani siku moja mtoto abebwe then
media kubwa kama CLOUDS FM
wanashindwa hata kuangalia issue
wanazidi kumdhalilisha jamani? Yani
ingekuwa nchi zingine hiyo law suit
ambayo wangeipata hii radio
wangeshaaa…Imagine mwanamke
anavyolia kwa uchungu kwenye hii
clip huyo mjinga anajiita mtangazaji
anazidi kumtreat Faiza kama kitu
gani sijui….
MH. SUGU, FAIZA NA MTOTO WAO
IN HAPPIER TIMES…..
Uwiii katoto kazurijeeeeee,,,, Anaitwa
Sasha….. UWIII KAZURIIIIIII…..
Mh. Sugu akiwa na mwanae Sasha….
I love this pic of Faiza na mwanae……
Haya ni maneno ya Faiza
alivyofunguka insta 2 weeks ago
kuhusu maisha yake na Sugu…
Its clear to see aliumizwa mnoooo na
Sugu…….
Akiwa na mwanae beach…..So
cute….
Hii ni moja ya picha zilizotumiwa na
mh. Sugu mahakamani kudai kuwa
Faizia anatembea uchi na mwanae
pia anamtembeza uchi
so hafai kuwa mama…lol…Ushuzi
mtupu……
Faiza akiwa kwenye red carpet
kwenye Kili Music Awards, pia ni
moja ya picha ambazo faiza
aliwasilisha mahakamani….
Hii ni copy ya summons aliyopokea
Faiza…. soma haijaeleza kitu zaidi
ya kuwa anatakiwa mahakamani
Sugu anamdai. Yani kama vile
walitaka kumpa suprise….Uonevu
gani huu.Nani kawahi kuitwa kwenye
custody case kishenzi hivi??Then
ufike bado unabutwaa ujieleze,kesho
yake hukumu mwenzio kashinda….
Asalam Aleykum jamani, nimemaliza
kufturu sasa ngoja nitiririke na issue
hii..
Naona wanawake wamechukia
mnoooo Faiza kunyang’anywa mtoto
wake na kuna wale wanaojianya
wanajua sana utamaduni wa
Tanzania..Mfyuu…
Kwa jinsi nilivyo ielewewa hii kesi ni
kwamba kesi imesikilizwa wiki
iliyopita na jana hukumu ikatoka…
Ni kwamba Faiza alipelekewa
summons ya mahakama Alhamisi
kuwa aende mahakamani Ijumaa na
Ijumaa walisikilizwa pande zote mbili
na jana Jumatatu
hukumu ikatoka kuwa SUGU kashinda
kesi.
Jamani something is very very wrong
here maana hakuna custody case
inachoyochukua muda mfupi hivyo,
uwiii naomba kuuliza kuna mmoja
wenu amewahi kupitia custody case
iliyochukua process ya 1 week au 2
days.
Kwanza kuna process za paperwork
nyingi tu between lawyers mpaka
kesi ianze kusikilizwa na hukumu
itoke ni process ya no less than 3
months jamani….
Basi nikajisemea Au labda Sugu
alifile kitu kinaitwa emergency child
custody kitu ambacho ndo kingeweza
kufanya kesi ikaenda fasta hivi na
Faiza kunyang’anywa mtoto wake
haraka hivi… Na kama this is what
happened, then hatuwezi kusema
kuwa Sugu kashinda kesi sababu
yeye anakuwa anapewa mtoto kwa
muda tu huku kesi ikiendelea ila sasa
nimecheki aisee ni kwamba
Mheshimiwa kashinda na kesi
imekwishwa. uwiiii sio kwamba
inaendelea imekwisha…
Sugu akadai kuwa eti Faiza
anampiga mtoto wao picha za utupu
na anaziweka kwenye mitandao
Hii ni moja ya picha Sugu alizopeleka
mahakamani kuonyesha mwanae
akitembezwa
uchi…..hahahha,uwiiii jamani basi
kuna wamama wa kitanzania zaidi ya
milioni huko insta wanatakiwa
kunyang’anywa watoto fasta kama
tatizo ni picha kama hizi….Kiruuu……
Uwiii, picha za beach na kitoto chako
eti ndo zinafanya uonekane sio
mama bora…uwiii…..
Sugu alivyoenda mahakamani Ijumaa
alienda na hizi picha kutumia
kuonyesha kuwa Faiza hafai kuwa
mama…. Wakapewa muda wa
kujieleza na hakimu Akajieleza
sanaaaa na wakaambiwa warudi
Jumatatu ambayo ndo jana na jana
kwenda wakaambiwa Sugu kashinda
kesi…..
Jamani naomba muache kuropoko
huko insta eti huyu mwanamke
alikuwa anatembea uchi…Akitembea
nusu uchi inamuhusu nini mwanae?
tena hata akitembea uchi wa unyama
ina muhusu nini mwanae? Sheria
inasema mtoto awe na mzazi
atakaeweza kuprovide safe
environment kwa mtoto… Huyo mtoto
wa Faiza anasoma internet anaona
picha za nguo za mamake? au huwa
anatoka na mamake usiku akiwa na
hizo nguo? Huu ndo unyanyasaji wa
wanawake tunaoupigia makelele…..
Faiza wakati anajieleza aliwaambia
hivi huyu baba anaemtaka mtoto
ambu muulizeni kama anajua hata
mtoto anasoma wapi? Sugu kuulizwa
hajui hata shule anayosoma mtoto?
just to show jinsi sio baba, halipi
hata school fees. Sugu alimwacha
huyu mwanamke kama mbwa tena
huku nana mtoto mchanga. Dada wa
watu kastruggle aishi na mwanae ten
posti zingine ukisoma huko insta
unaona kuwa bado anatamani
angekuwa na Sugu ila sugu ndo
hamtaki….Yani unaona alivyoumia
kuachwa na Sugu….
Wengine wana jugde mama malaya
(mnanifanya naandika maneno makali
mwezi mtukufut). Hivi nyie mnao
mjudge Faiza mmeshwahi kuachwa
na mwanaume unampenda tena huku
unamtoto mchanga? unajua
mwanamke anavyodata? kuna
wengine wanakuwaga vichaa
kabisaaaaa. Alafu unamuona mtu ndo
kawa Mbunge sijui nini na hakujali
senti yake moja huioni…. Na kama
mahakamani waliamua kuangalia
personal life za wazazi maana
mavazi ya Faiza yaliangaliwa je
personal life ya Sugu je? Hivi
walisikiliza ile nyimbo ya ANTI-VIRUS
yale matusi??? je yule ni mzazi wa
kulea mtoto wa kike??? eeh si
wanaangalia personal life,hiyo je? JE
Sugu katekeleza wanawake
wangapi,tena anawaacha vibaya
jamaniii, kuna yule Sarah wa Sweden,
kuna Jestina kuna SHYROSE BHANJI,
kuna mwingine alikuwa nae wakati
anaanza kampeni za Ubunge nae
unaambiwa kaachwa vibaya…Huyo
Sarah wa Sweden ndo kidogo
adate.In short Sugu ni mdhalilishaji
wa wanawake ana roho mbaya hajali
atakuacha mchana kweupe. Sio mtu
wa kupewa kulea mtoto wa kike
kama issue ni personal life, au
mpaka na yeye picha zake enzi zile
akieperform boxer nje zipelekwe
mahakani? kwani boxer si chupi pia?
Sugu hajui mwanae anaishi vipi
anakula nini? hatoi hata senti moja
ya child support toka mwanae
kazaliwa leo hii mahakama inampa
mtoto in 1 day , eti… Is that fair??
Huyu Faiza nae kuna waya imepiga
shoti kichwani akawaambia kama
issue ni uvaaji wangu wa nguo
ntaacha kuvaa hivyo si mpe warning
kuliko kumchukua mwanangu.
Akasema huyo anaedai mie sifai
kuwa mama yeye mwenyewe kwanza
ni MFI****I , amejaribu kunifanyia
hiko kitendo more than 3 times
namkatalia ila ndo tabia zake je
mninyang’anye mie mtoto based on
mavazi then mkampe mtu MFI***I
mtoto wangu??? hahahhahaha, huyu
dada kapinda aiseee, unajua alisema
mahakamani eeh?Sugu alivyodai
kuwa mama mtu anasafiri sana
akapeleka na picha za instagram
mama mtu akiwa kasafiri. Faiza
akawambia huyu ni Mbunge yeye
mwenyewe anasafiri sana na hana
muda. Which is true jamani kila mtu
anajua life ya mbunge huyo Sugu
atakaa na mtoto saa ngapi? Then
Sugu akasema kuwa kama yeye
akiwa kazini mtoto atakaa na mama
yake, Faiza akajibu huko kwa mama
yake ndo mwanangu sitaki aende
sababu huyo mamake anakaa na
wadogo zake Sugu wakiume wawili
na hao wadogo zake wawili walikuwa
wanamkamata na wanamlala
housegirl wao wote wawili kiasi
kwamba housegirl kapata mimba na
kazaa humo humo ndani mwao
haijulikani mtoto ni wa kaka yupi.
uwiiii,hii family ni kiboko…Kwanza
kabisa hapa nimeshaona kuna case
ya rape au unyanyaji wa kijinsia
uliofanywa na familia ya MH.SUGU
na huko Bungeni angetolewa kwa
muda mpaka awafikishe ndugu zake
kizimbani yuko busy kunyanyasa
watoto wa watu wakati ndugu zake
wamemlala mahousegirl tena kwa
zamu kwa tani yao mpaka mtoto wa
wa watu kazaa mtoto baba hajulikani
tena akafanyiwe na DNA tujue baba
nani. Nimechukia mnoooooo huyu
Faiza alivyofanyiwa…..Kama ana vaa
uchi ni yeye jamani inahusiana nini
na uwezo wake kama mama???
Na sasa ngoja tuweke wazi sababu
ya Sugu kwenda kudai mtoto wake,
Sio kwamba anamjalia sana mwanae
ana anaogopa Faiza atamwaribu
mtoto. NOPE.Sugu kaenda kudai
mtoto wake sababu hii, 2 months ago
Faiza alianza kumdai pesa ya
matunzo ya mtoto sana sana rent ya
nyumba akamwambia basi washee
hata rent la sivyo ataenda
mahakamni. Na meseji za simu
anazo alivyokuwa anamdai Sugu
Pesa. ila huyu mbunge na pesa
yooote anayoipata bungeni akaona
uchungu sana kumpa Faiza pesa ndo
akaona akamfanyizie….
Jamani Faiza is no angel na kwa
maisha ya mtanzania wengi
wanaweza wasimuelewe na zile nguo
zake ila aiseee hizo nguo sio kigezo
narudia sio kigezo cha mwanamke
kunyang’anywa mtoto…. ..
NA KIBAYA KATI YA VYOTE
KANYANG’ANYWA MTOTO
KINYEMELAAAAAAA……..KUNA MTU
KALA PESA YA SUGU HAPA NA
TUNGEPENDA KUMJUA…MTOTO WA
WATU HAKUPEWA HATA TIME YA
KUJIPANGA EEEH? .Na kibaya sana
summons haikumwambia why
anaitwa mahakamani, si angejua ili
na yeye ajipange apeleke ushahidi
kama Sugu..
Hivi mnajua huyu binti aliepelekewaa
summons ya mahakama Alhamisi
jioni tena summons inasema aende
mahakamani kesho yake anadaiwa
na Sugu Mbilinyi yani hakujua hata
anachodaiwa ni nini? imagine kaenda
court hajui hata kama anaenda
sababu ya kesi ya mtoto kaambiwa
tu anadaiwa kufika huko anakumbana
na custody case. Na the next
business day which was jana rulling
imetoka…Na wala hajapewa copy ya
rulling….
INSHORT FAIZA KAONEWA,
JAMANI WAANDISHI WA HABARI
KAMA MNASOMA HAPA AU KAMA
MNAPENDA HAKI TUNAOMBA
MKAFATILIE HII KESI NA MUWEKE
WAZI KILICHOTOKEA PALE….
CASE # : 27/1015, MAHAKAMA YA
MWANZO MANZESE. KESI ILIKUWA
KWA HAKIMU PATRIC. J.
VANGINGA.
AANZE KWANZA KUHOJIWA HAKIMU
ALIWEZAJE KUAMUA CUSTODY
CASE IN 2 DAYS, MBONA SOCIAL
WORKERS HAWAKUTUMWA
KUANGALIA MAZINGIRA PANDE
ZOTE MBILI? WHY HAKUTUMIA
SOCIAL WORKERS AU WHY MAMA
MTU ALIPEWA LESS THAN 24HRS
KUJIANDAA KWA KESI? KWANINI
MAMA MTU HAKUPEWA
NOTIFICATION MAPEMA WHY LESS
THAN 24HRS? MATOKEO YAKE
SUGU KAENDA KAJIPANGA HUKU
FAUZA KAENDA PALE MWEUPE
PEEE…
SUGU ALISEMA KUWA MTOTO
ATAKUWA ANAKAA KWA MAMA
YAKE SOMETIMES, NA FAIZA
ALISEMA HAPO HAPO KUWA
WADOGO ZAKE SUGU WANAISHI
KWA MAMA YAKE WANAMCHEZO
MBAYA WA KUINGILIA WANAWAKE
KWA PAMOJA WHY HAKIMU
HAKUCHUKULIA HII KITU SERIOUS
KUWA MTOTO ANAWEZA
KUFANYIWA VITENDO VIBAYA NA
BABA ZAKE WADOGO? KWANINI
HAKIMU ARUHUSU MTOTO AKAISHI
KWENYE NYUMBA AMBAYO INA
WANAUME WENYE TABIA HIZO? JE
ALITUMA SOCIAL WORKERS
KUFATILIA HIYO TUHUMA KWANZA?
THIS IS A VERY SERIOUS
ALLEGATION NOT TO BE TAKE
LIGHTLY NA HAKIMU ALITAKIWA
KUFATILIA KWANZA KABLA MAMA
MTU HAJAWA DISCREDITED.
MTOTO WA HOUSEGIRL
ANGEFANYIWA DNA TUJUE KAMA
FAIZA MUONGO. EEH MAANA SUGU
KASEMA MTOTO ATAKUWA KWA
MAMAKE YEYE AKIWA KAZINI SO
KITU HIKI NI KIKUBWA MNOO KWELI
NI BORA MTOTO ATOLEWE KWA
MAMA WA KUVAA VINGUO VYA
UCHI NA KUWEKWA KWENYE
MAZINGIRA HAYA??? WHERE IS THE
LOGIC???
JE ANAJUAJE SUGU ATAWEZA
KULEA MTOTO ZAIDI YA FAIZA
IKIWA KWAMBA HATA CHILD
SUPPORT HAJAWAHI KUTOA???
KWELI ALIBASE DECIOIN YAKE
BASED ON PICHA ZA MTOTO
KUVALISHWA SWIMMING COSTUME
TU????REALLY????
PLEASE MNGEFATILIA……
FAIZA AMEKATA RUFAA , JAMANI
KAMA WEWE NI MWANAMKE NA
UMESOMA HAPA PLEASE POSTI
INSTAGRAM YAKO KUHUSU HII KESI
ILI WATU WAANZA KUINGALIA KWA
MACHO MANNE ILI HUYU DADA
ASIONEWE….. KWANINI WANAUME
WATUONEE HIVI JAMANI…
EEEH, Huyu Sugu yeye ni kuacha
wanawake kama mbwa kila siku.
Huyu mwanamke kamuuza mnoooo.
Kadaiwa child support sasa anataka
kumchukua mtoto…. Hivi antaka
mwanamke ajiue ndo afurahi…. Kila
mwanamke anajua inavyouma
kuachwa na mwanume unaempenda
sana tena ukiwa umeshazaa nae na
una mtoto mdogo then imagine
akunyang’anye na mtoto…. Kama ni
mavazi tu hata judge si angempa
mama mtu warning kuwa aache
kuvaa hivyo. Ila sio kumfanyia hiyo….
ALL IN ALL SIJAWAHI KUONA CHILD
CUSTODY CASE AMBAYO MDAIWA
ANAENDA KUJULIA MAHAKAMI
KUWA UNA KESI YA
CUSTODY..Jamani navyojua mimi hizi
kesi hata mahakamani huwa
wanakataaga kupokea hivi hizi kuwa
kuna process wanatakaga muanze
kwanza uswawi wa jamii
ikishindikana huko ndo mnapewa
documents za kwenda mahakamani
mie nilishapitia hii pricess hakuna
mambo ya kushtukiziwa na huwa
pande zote mbili mnapewa chance
ya kuleta ushahidi na mashahidi
Faiza kafika pale hajui hata kaitiwa
kesi ya mtoto hajapeleka ushagidi
wowote ule na kesi kesi ikaamuliwa
the next day..
HUU NI UNYANYASAJI WA
WANAWAKE NA NDO MAANA WE
NEED A WOMAN PRESIDENT NOW
JAMANI…. APEWE MWANAMKE
URAIS THIS TIME…. CCM MMEPATA
CANDIDATES WANAWAKE WENYE
QUALITIES ZOOOOTE MUWAPE
CHANCE TENA INGEBIDI PRESIDENT
NA WAZIRI MKUU WOTE WANAWAKE
ILI TUONE CHANGES
JAMANI…..RAISI MWANUUME ISSUE
KAMA HII HAWEZI KUIPA
KIPAUMBELE AT ALL…NA IMAGINE
HUYU NI FAIZA TUNAMJUA NDO
MAANA KESI TUKAIJUA JE NI
WANAWAKE WANGAPI
WANANYANYASIKA HIVI?
JOYCE KIRIA…
Calling on you JOyce Kiria. MY
SUPER WOMAN WITH INVINCIBLE
WINGS – Msaidie huyu binti najua
Sugu ni shemeji yako huko Chadema
ila funga macho fanya kazi…PLEASE
TUNAKUOMBA.Sie wengine msaada
tulioweza kumpa ni huu kwa
kubwabwaja ila wewe unaweza
kumsaidia kwa vitendo.PLEASE HELP
HER….
PS: Hivi Sugu ni mbunge wa Mbeya
eeh? Mgombea UBUNGE wa CCM
huko Mbeya hii kesi itakusaidia
sana kumtoa Sugu ubunge…Yani
ukiitumia vizuri hakuna mwanamke
atakae mpigia Sugu kura huko… Yani
mtafute Faiza uende nae aongee na
wananchi waone Sugu alivyohonga
mpaka akanyang’anywa mtoto wakati
yeye aliachwa kama mbwa na Sugu
kaenda kumdai pesa ya huduma ya
mtoto ndo Sugu kamnyang’anya
mtoto…USE THIS nakwambia
wanawake watamchukia mpaka
maana wanawake wanamachungu
sana na treatment wanazozipata kwa
wanume. Really, wanaume
wamekuwa wanyama sana.First
umwache mwanamke then hutaki
hata kutoa pesa mwanao ahudumiwe
kudaiwa pesa ndo unatumia cheo
chako kumpeleka mtu mahakami…
NA WEWE SUGU ACHA KUMTISHIA
FAIZA NA NDUGU ZAKE ETI
UMEAMBIWA NA RAISI KIKWETE
UKAMCHUKUE MTOTO? KIKWETE
ANAKUJUA WEWE???? WEWE NANI
NCHI HII KWA MFANO? WHO THE
HELL ARE YOU?? WHAT IS
UBUNGE? KAMA MTU KAMA WEWE
ULIWEZA KUWA MBUNGE WHAT THE
HECK IS UBUNGE? STEVE NYERERE
TU ATAKUWA MBUNGE
SOON….HAHAHA… TENA
USIMWINGIZE RAISI KWENYE
UJINGA WAKO KISA UTISHE
WANANCHI. LABDA KAMA
ULITUMWA NA FREEMAN MBOWE…
MFYUUUUUUU….. TUTAPAMBAMBA
NA WEWE MPAKA UMUACHE
MTOTO KWA MAMAKE NA PESA ZA
MATUMIZI YA MTOTO UTATOA
MNYANYASAJI MKUBWA WEWE.
UNGEKUWA UNAJUA KUJALI MTOTO
WA KIKE HAO WANAWAKE WOTE
UNAOWADUMP KAMA UCHAFU KILA
SIKU USINGEWAFANYIA HIVYO
KWANI WAO SIO WATOTO WA
WATU? MWACHE FAIZA ALEE
MTOTO WAKE USHAMTESA VYA
KUTOSHA UNATAKA
UMNYANG’ANYE NA MTOTO WHY???
CHILD SUPPORT UTATOA
TUUUUUUU KWA FAIZA NA MTOTO
HUMCHUKUI NG’OOOOO…….ROHO
MBAYA KA KITU GANI…..
ALLAH ATANISAMEHE KWA HILI
NAMTETEA MNYONGE AISEEEEE….
KAONEWA SANAAAAAA,,,SIJAAMINI
KUNA UJINGA KAMA HUU
TANZANIA…
KAMA KUNA ANAE MFAHAMU
HAKIMU PATRIC. J. VANGINGA
TUNAOMBA INFO ZAKE KAMA PAST
JUDGMENTS AMBAZO ZILIKUWA
QUESTIONABLE KAMA HII YA
SUGU… INABIDI TUWAANIKE NA
MAJAJI ILI HALI IBADILIKE……
SITAKI KUMSEMA VIBAYA HUYU
JUGDE MPAKA MKINIPA DATA ZAKE
VIZURI NDO NITIRIRIKE KWA
FACTS… MNIPE CASE NUMBER NA
MAJINA YA WADAI NA WADAIWA
THEN TUMJADILI HUMU NAE. NA
PICHA YAKE KAMA MNAYO…
HIVI NYIE MIE MNGENIPA URAISI
JAMANI NEXT UCHAGUZI..HAKI YA
NANI NTAISAFISHA HII NCHI
ITAKUWA NYEUPE PEEEEEEEEEE….
HAHAHAHA


Source: Uturnblog
 
IN THE MATTER OF DIVORCE DECREE / DECREE OF SEPARATION AND THE WELFARE OF THE CHILDREN

In granting the divorce decree or a decree of separation the welfare of the children is the most important thing to be considered by the court.

In almost all situations, a court in regards to Child custody and guardinship will keep one primary question in mind when deciding a custody case, namely, what is in the best interests of the child?

To answer this question, courts generally look at a number of different factors to be considered;

1}Customs of community to which parents belong;

2}Economic circumstances of both parents;
- a parent's financial and physical ability to provide a child with essentials like food, medical care, shelter and clothing.

3}Behavior of mother and whether she contributed to marital breakdown.
- a parent's vocation and habits, including things like excessive drinking or smoking.

4}The willingness of each parent to support the child's relationship with the other parent.

5}The quality of life the child enjoys in the child's current status quo.

If, upon looking at all of these factors, a court cannot decide what is in the best interests of the child, courts normally tend to look closely at which parent would most likely provide the child with a stable household.

Section 125 (1) of the Law of Marriage Act (CAP 29 R.E. 2002) give courts the power to decide the custody of the child after divorce.

This may be to one of the parents or to the relatives of the said child. What the court considers most is the child welfare.

Section 129 (1) of the Law of Marriage Act gives the father a responsibility to maintain his infant children.

This responsibility is mandatory no matter who takes the children for custody. The father of infant children has to provide them with basic needs like clothing, food, and education.However, such responsibility can vary depending on the child's age.

There is legal presumption that children below seven years should be left with their mother.
However, the court in considering the welfare of the said children can grant any person as it deems fit the custody of the children.

In the case of Ramesh Rajput vs. Mrs Sunanda Rajput (1988) TLR 96 the Court of Appeal discussed the issue of custody and children and held as follows:

(a)The most important factor in custody of children proceedings is the welfare of the child.

(b)That an infant of
two should be with the mother unless there are very strong reasons to the contrary.

Thus, the court has discretion to decide on who is suitable to be granted the custody of the children of two years or more when it has been satisfied that the best interest of the child are not injured.


Respectfully Submitted

Ndata, Asajile C.

LL.B in the Making

©Tinga Wa Kapugi
 
nimesoma para chache ila kwa kipindi kifupi nimetambua upumbavu wa wanaomshambulia SUGU ?anamsimamia mtt PERIOOD
 
@kichunahicho huo upumbavu wenu jadilini hukohuko kwenye blog ya makahaba na instagram.. shwaini wewe
 
Mi namuonea huruma hy mtoto maan wazazi eee, mbona kapata?!!!
 

Hii "nguchiro" ninahamu sana ije ijae kwenye 18 zangu. Lazima uandike kitabu kizima siku hiyo, yani hata inachotetea hakionekani zaidi ya kurukaruka kama sindano ya chereani.
 
Huyu Faiza kwa mavazi yale ni bora Sugu chukua mtoto, ni nini mtoto anajifunza kutoka kwa mama yake kama sio tabia mbaya tu? tunatengeneza taifa la watu wasiokosa maadili kwa style hii ya faiza
 

👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
 

Faiza ameandika hivi kupitia Akaunti ya Instagram:

"Sielewi joseph ameshindaje kesi - ushahidi wa picha peke yake sioni kama unatosha mimi kupokonya mtoto wangu- mtoto wangu ni mdogo sana ananihitaji sana – na sita rudi hata ikibidi kuuza kila nilicho nacho kwa ajili ya kusimamia hili- sijapewa nafasi nimepelekwa mahakamani ijumaa na leo jumanne nimepewa hukumu/ mwanangu achukuliwe….. hapana !"


NINA MASHAKA MASHAKA NA HII HUKUMU JINSI ILIVYOTOLEWA INAONEKANA KUNA DALILI ZA RUSHWA ILA KWA SABABU NI MH WA CDM APA KUNA WATU WANASHABIKIA TU KIUKWELI HUYO FAIZA BADO ANAYO HAKI KUHUSU MTOTO WAKE KWA SABABU ZIFUATAZO
1.UVAAJI MBAYA WA MAMA PEKEE HAUTOSHI KUHUKUMU KUWA MAMA KASHINDWA KULEA MTOTO WAKE TUJIULIZE MPAKA MTOTO KAFIKA HAPO ALIKUA ANAISHIJE, JE MH AMECHANGIA NINI KWENYE MALEZI YA MTOTO
2.SUGU MWENYEWE ANALO KOSA LA KUJIBU KWA KUMTELEKEZA MKE NA MTOTO BILA KUTOA MAHITAJI YA MSINGI INAWEZEKANA NDIO SABABU YA KUMUONGEZEA MAMA MTOTO MSONGO WA MAWAZO MPAKA KUFANYA MAMBO AKIWA AJIELEWI
3.MH SUGU ANAYE MTOTO MWINGINE ALIYEZAA NA MTU MWINGINE AKAMTELEKEZA SS UYO MTOTO NI FUNDI GEREJi IVYO INAONEKANA HUYU MH NI MNYANYASAJI KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO
WITO WNG; WANAWAKE WOTE TZ MUUNGANE KUMTETEA MWANAMKE MWENZENU ANANYAN'GANYWA MTOTO KWA KUTUMIA NGUVU YA MADARAKA NA FEDHA.KAMA NI UDHAIFU WA MAMA UNALEKEBISHIKA TUMEONA WATOTO WANALELEWA NA MAMA VICHAA KULIKO FAIZA LAKINI WAKAWEZA KUMUDU KUTUNZA WATOTO WAO NA KAMA WANAWAKE MSIPOUNGANA KWA HILI MTAENDELEA KUNYANYASHWA KILA SIKU "SIMAMENI WANAWAKE TETEENI WENZENU"
CC. TAMWA,HAKI ZA BINAADAMU et.l, KESI ZA KUPIGIWA KELELE NI ZA KISIASA PEKEAKE?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…