Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie yanawahusu nini?watz ndo maana nimasikini kwa kufatilia private issue za watu!
Kwa sababu ni chadema watu wanatoka povu si tukubali tu jamaa kabugi
Fafanua ame bugi vip siyo ku Ropoka Ovyo!
Faiza akiolewa na kuzaa na Sugu alikuwa timamu
Lakini sasa hivi ni chizi,Ni wakupiga kamba akamalizie starehe milembe
Nyie yanawahusu nini?watz ndo maana nimasikini kwa kufatilia private issue za watu!
Sasa wewe kwa akili zako yule faiza ni mtu wa kuzaa nae?