Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Kwa sababu ni chadema watu wanatoka povu si tukubali tu jamaa kabugi
 
Faiza akiolewa na kuzaa na Sugu alikuwa timamu
Lakini sasa hivi ni chizi,Ni wakupiga kamba akamalizie starehe milembe
 
Faiza dada yangu ni kweli shemeji yangu Joseph alikupenda na vichupi vyako ila tatizo sio shemeji tatizo uyo mtoto wenu ambae mimi ni anko wangu hawezi kulelewa na wewe ukiwa unavaa vichupi na tabia zako hizi za ajabu hapa unasaidiwa ili binti yenu akue kwenye misingi bora ukimaliza kula ujana utamkuta binti yako sawa enheeee dada angu.
 
Teh Teh kumbe facebook ndio iliwakutanisha...Sugu akarusha nyavu...
 
Angalia video hapo chini ili uamue kama mahakama ilimtendea haki mtoto au ilikosea.

Faiza Ally, akihojiwa na mtangazaji amesema yup confortable na vazi hili. Je, vazi hili ni kweli lilichanika bahati mbaya kama alivyo dai kwenye vyombo vya habari au ndio...?

 
Last edited by a moderator:
Unaweka uamuzi wa kumtunza mtoto wa miaka miwili kutokana na msanii kuvaa vazi na kwenda kwenye show? Mfano kama mwanaume anavuta bangi ndani ya nyumba na kavaa kanzu je lipi mgusa na kumuharibu mtoto zaidi? tuache ushabiki hatujui vizuri inabidi tuangalie mambo yote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…