Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Kuna watu wapumbavu dunia hii...khaa!!!
 
Ila wanaume mmezidi mnapenda kuonea wanawake kwa kuwaf*** ifike mahali mwanaume akiomba ku***** naye afi***** kwanza ili km ni utam wote mfaidi....utakuta limtu linajifanya linakupenda halafu linakuomba........sasa km mke unamwomba huko nje si anaomba mpaka kuku? Pumbaaaaaaaafu
 
Huyu binti sasa anatumiwa na mahasimu wa Sugu kisiasa.

Yani kama namuona Naipe anavyochekelea. And i tell u' more are coming.
 
Hawezi kuwa mke huyu. Ni majanga tu.
 
Apelekwe kwenye zoo. Tuwe tunalipia kumuangalia
 
huyu dada bora alivyoachwa anasema kaondoka mwenyewe mbona ye ndo alikua analalamika kuachwa sana tu duh ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
mimba zinapatikana ukiingiliwa kinyume na maumbile duuh
 
Duh kumbe livutaji bangi,ndio maana linabwabwaja na kutukana tu,lkn faiza hapo umetuziba macho,sio amejaribu kukuf...naamini ameshakufanyia hvyo sana tu,huwezi kujikwamua kwake kwa hilo,duh kumbe limuheshimiwa jitu la kupenda ndogo!!haya wacha move iendelee tusubiri stering azindukane maana kazimia.
 
Loh, muda mwingine uchaguzi wa mpenzi sahihi huwa wa maana zaidi, unaweza ku fall in love na mtu then baadae ukajuta maisha yako yote kwa nini ulimpenda...
 
Huyu dada ni muongo eti alishajaribu kufir.......mara tatu mtu hawezi jaribu mara tatu akose kutatua marinda hapa majibu ni mawili aidha alishafir. ......wa kweli ama yote ni uwongo mtupu lkn pia naona kama ni kisasi mara baada ya kunyang'anywa mtoto.
 
Usihukumu ww, ushahidi wa mtu mmoja dhidi ya mwingine pasipokuwepo mtu wa tatu ni mgumu
 
Huyu dada akili hana kabisa kama kweli anampenda mtoto wake basi hakupaswa kumchafua baba wa mtoto wake anayemtafutia mwanae mkate wa kila siku hajui maana ya faragha huyu! !!!?ama anatumiwa na chama kipindi cha kampeni hiki!
 
Loh, muda mwingine uchaguzi wa mpenzi sahihi huwa wa maana zaidi, unaweza ku fall in love na mtu then baadae ukajuta maisha yako yote kwa nini ulimpenda...

Well said. Aseee inabidi umtangulize Sir God katika kukuchagulia mpenzi/mume. Kwa akili ya kibinadamu huwezi kujua yupi mwema/mbaya. All in all hili lidada ni liongooo stress linazisumbua+ kumwagwaa!
 
Huyu demu anaonyesha kabisa hafai kuwa mama wa mtoto. Huu ujinga inaoinyesha sugu was right. Huwezi ukawa mtu unajiheshimu ukatumia lugha isiyo na staha kwenye jamii

Lkn mkuu tusimsimange huyu mdada tu,inawezekana ni kweli lijamaa lilitaka kumla kipira,maana lile jamaa bangi kweli inamsumbua sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…