Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
akili zake huyu bidada.. bichwa empty set kabisa.. chonde chonde ndugu zangu turuke rukee, tufanye makosa yote, ila tusikosee kuoa, utajuta maisha yako yote... tuwe makin
 
Tunashauriwa sana mambo ya ndoa kuishia ndani ya familia, yakishatoka nje ya familia matokeo yake ndiyo haya. Siri zote nje. Kwa hiki anachokisema Faiza naweza kukikubali kwa asilimia 70. Nakikubali kwa sababu kwa namna alivyo Faiza kimavazi na kimaneno inaakisi namna tabia ya Sugu ilivyo. Kwa mtu mstaarabu na anayesjiheshimu hakuna namna anaweza akaingia kwenye mahusiano na mtu kama Faiza acha tu mbali suala la kuzaa naye, hivyo Sugu alikuwa na tabia zinaondena na Faiza ndio maana alienda hata kujitambulisha nyumbani kwa akina Faiza na hata akaamua kuzaa naye. Haya yanayomtokea Sugu ni malipo ya uchafu aliokuwa anaufanya. Na bahati mbaya anaamua kuhangaika kujinasua kwenye hili janga la Faiza baada ya kujua yeye ni mbunge, na mbunge anapaswa kuwa na heshima fulani katika jamii. Huu ubaya wa Faiza anauona sasa hivi baada ya kuwa mbunge, na pengine baada ya wabunge wenzake kumsema kuwa anapaswa kuishi kama kiongozi wa jamii anayefuata maadili.
 
watanzani tumefika maali pabaya kimaadili, watu wanatunga uongo sababu tu siasa acheni hizo.
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja, mtoto katoka kwenye afadhali kaenda kwenye potelea mbali.
Mama mshinda UCHI na baba nae mvuta BANGE

Nimeipenda hii. Ina ukweli toka kwa great thinker.
 
Ndo maana anavaa pempres nini?
_ila hizo ni hasira za kuachwa tu ndio maana huu ugomvi wala si wakushabikia
 
Mbona Komando na yeye alikuwa anatoa tigo lakini hakupata mimba, Faiza fafanua zaidi wewe yako uliipataje
 
Embu tumuulize bibie shy....nanihii b' njiii kama nae sugu alimuomba ukuta....hapo tutajua nani mkweli si alipita hapo?
 
Ni bora upotee njia, wasamalia watakuelekeza, usije ukakosea kuoa au kuolewa
Linex-Kimugina
 
Anatumia vileo gani huyu binti?

mtu anayekaa mata.ko nje mbele za wanadamu wenzie bila aibu wala soni......

anatofauti gani na mbwa au nguruwe pori

kuna mahali humo kichwani mwake oxygen haifiki vizuri halaf kama haitoshi anaandika ufala wake hadharani she is insane
 
Kujadili wagonjwa wa akili humu Ni mzigo wa msumari kichwani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom