Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
mtu anayekaa mata.ko nje mbele za wanadamu wenzie bila aibu wala soni......

anatofauti gani na mbwa au nguruwe pori

kuna mahali humo kichwani mwake oxygen haifiki vizuri halaf kama haitoshi anaandika ufala wake hadharani she is insane

Huyu ilibidi Serikali imkamate kwa nguvu akapimwe ubongo.

Anatatizo kubwa kweli.
 
aisee.... unaweka source za udaku jukwaani mkuu???
gazeti la wembe!!!!!!
 
hata kama anavuta bange,mh sugu utendaji wake wa majukumu ya kikazi umetukuka katika nchi hii......
 
Matata yako wapi hapo, au kwako neno matatani linamaainisha nini hasa.
 
Hahaaa huyo faiza ndio anaonekana chizi.....kijiti anavuta mtafutaji
 
Hii cinema haitakwisha sasa hivi, kuna makosa huwa wanaume tunafanya baadae sana tunakuja kujutia mno,
Kuna mwanamke unakuwa nae baadae unajuta mno kwanini ulimfahamu au kwanini uliwahi kuwa sehem ya maisha yake,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…