kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Kutunza mtoto ni lazima uwe naye. Mahakama imetenda haki kwani mama ni lazima ujiheshimu na uwe na muda wa kutunza mtotomahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa
* Ishu sio mavazi tu...grounds za Sugu zilikuwa nne:
* Kuvaa mavazi ya nusu utupu, kupiga picha za nusu uchi na kuyatupia mtandaoni...
* Kumpiga mtoto picha mbaya ya kuyatupia humohumo mtandaoni...
* Kusafiri mda mrefu na kuwa mbali na mtoto...
* Kutokuwa na kipato cha kuweza kumlea mtoto...
Nikuulize angelikuwa anatoka Kotela ungemkubalia huyo Faiza? Mbona wewe unavaa mavazi ya heshima? Acha kutetea maovuukiongelea vazi tu mkuu naona hapana.... kuna watu wanavaa vizuri lakini hawana ulezi bora kwa watoto wao.... kwa kuangalia mavazi hukumu haijatenda haki... kuna kahali fulani cha kukomoana kipo
[/B]kwa hizi nilizo bold mahakama imetenda haki basi sawa asipewe mtto
....Mwananchi June 23 2015 ikitokea Mahakamani Manzese Dar es salaam ...
.....Taarifa inasema Mahakama ya Manzese imeamuru Mbunge Joseph Mbilinyi akabidhiwe mtoto wao....
...Mahakama ya Sinza Mori imetoa hukumu...
mahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa

huyu faiza ndiye Faizafoxy?
mahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa
Tatizo ni kuwa sugu alikutana na Faiza wapi? Kama sio kwenye show zao ndio akakikubalibkidemu kilichovaa kimini akakitia mimba akakiweka ndani, leo hii anamuona mwanamke wa watu kuwa ni muhuni?
Tatizo ni kuwa sugu alikutana na Faiza wapi? Kama sio kwenye show zao ndio akakikubalibkidemu kilichovaa kimini akakitia mimba akakiweka ndani, leo hii anamuona mwanamke wa watu kuwa ni muhuni?