Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
* Ishu sio mavazi tu...grounds za Sugu zilikuwa nne:

* Kuvaa mavazi ya nusu utupu, kupiga picha za nusu uchi na kuyatupia mtandaoni...

* Kumpiga mtoto picha mbaya ya kuyatupia humohumo mtandaoni...

* Kusafiri mda mrefu na kuwa mbali na mtoto...

* Kutokuwa na kipato cha kuweza kumlea mtoto...


kwa hizi nilizo bold mahakama imetenda haki basi sawa asipewe mtto
 
Kwa mwenendo wa huyu Faiza naunga mkono hoja kuwa hatakiwi kupewa mtoto...
 
vizuri vinagarama..... Cheupeeee, penda cheupe!
 
mahakama imefanya uchunguzi kuthibitisha hilo au hicho kivazi tu ndiyo kimekuwa go ahead.... something haipo sawa

Serious.....?naamini unazo A,B,C za uchizi wa Faiza ambao anaufanya tena wazi wazi haikua sawa kukaa na mtoto simply malezi yasingekua sawa hili la KTMA ni msumari wa mwisho kwenye mfuniko wa jeneza,jaribu tu kuzunguka kule jukwaa la celebs ukute balaa lake alafu utapata jibu.
 
Kumbe mahakama bado inatenda haki kwenye baadhi ya mambo. Safi sana although for the best interest of the child is better raised by both parents.
 
Tatizo ni kuwa sugu alikutana na Faiza wapi? Kama sio kwenye show zao ndio akakikubalibkidemu kilichovaa kimini akakitia mimba akakiweka ndani, leo hii anamuona mwanamke wa watu kuwa ni muhuni?

Hili nalo neno

Ukutane na mtu club akiwa kavaa upaja nje azae nae halafu ategemee apige madera????
 
Tatizo ni kuwa sugu alikutana na Faiza wapi? Kama sio kwenye show zao ndio akakikubalibkidemu kilichovaa kimini akakitia mimba akakiweka ndani, leo hii anamuona mwanamke wa watu kuwa ni muhuni?

Watu hubadilika baada ya kuzaa.

Lakini inavyoelekea huyo mwanamke kabadilika visivyo.

Ni kama kila siku anajitahidi kuji-out do mwenyewe.

She's an embarrassment.

Wewe mamako angekuwa anafanya huo ujinga ungejisikiaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom