Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Teh teh teh.....
Ditopile aliacha ile gun yake,sijui tutaipataje?
Huyu mwanafatuma atajilaumu for the rest of her life,kwa upuuzi alioufanya kapoteza mashabiki makini,ikiwemo na mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh.....
Ditopile aliacha ile gun yake,sijui tutaipataje?
Huyu mwanafatuma atajilaumu for the rest of her life,kwa upuuzi alioufanya kapoteza mashabiki makini,ikiwemo na mimi.
TUPO PAMOJA KAKA,kutumika kama Kondom noma sana!!!.Nimeanza kumchukua FATU.FA. akili zako bado hazina akili unakubali vipi kutumika. kwa maslahi ya watu wengine! sikupendi na sikukubali tena kwa hiyo tabia yako ya kichoko
Huyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege
Unawashwa naHuyu sugu haya akiimba bure mimi siingii hana swaga wala style huyo jide sauti za nyimbo zake sasa hata mchiriku inanafuu zinaumiza masikio bora nikaziweke kwenye mashamba yangu ya mpunga kufukuzia ndege
dah tiketi bado zipo kweli ?
sugu moto chini,hongera sana
White collar mbeba box Nyani Ngabu, nakusalimia tu my trainer.
NO Apology! Live on stage like those old gold days!
Too Proud lazima upande na wale jamaa hatari GWM then Mapacha a.k.a maujanja supplier!
Lazima waombe vigoda wakae hahaha!
Yahaya unaishi wapi
bado dogo daimond, afande sele na huyo aliyejiunga cdm majuzi
natamani nao wawepo.
Unamaanisha Profesa Jay, mbona naye atakuwepo Mixer Juma Nature naye ndani
Sugu kwa hili hajatenda haki, pale nyumbani lounge hapatoshi sehemu ni ndogo sana, mimi nina hamu ya kwenda kuona wakiimba na Jide ile nyimbo ya mambo ya Fedha.
Hakuna kitu kinachoudhi kama mtu kujirahisi kwa ajili ya kitu.
Halafu kwa ufinyu wa mawazo hujui kuwa kumbe kile kitu ni chako ila unazungukwa.
Anazidi kukauka kama kala cement ya pakistan
.