Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Kilichoboa leo ni habari za lady jaydee na ruge kupeleka bungeni, soon tutasikia za wema sepetu bungeni,
Mimi nasema mara nyingi wabunge baadhi wa cdm wamekuwa wanashinda jf kuokota habari halafu wanaingia nazo bungeni,
Tazama habari za sugu, msigwa, lema, nyingi zinatoka hapa jf