Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
mkuu,upeo wake ndo umeishia hapo halafu anajiona kuwa yeye ndo amesoma,hajui kuwa hata wasiosoma wakati mwingine wana hoja,hasemi kama tuhuma za sugu zina mantiki au la,yeye anamuona kama mvuta bangi tu
Huyu mbunge wa mbeya jaman hamna kitu kichwani kweli nimeamini kama usipoenda shule na ukawa unatumia majani utakuuwa na matatizo kidogo sasa katika kuwakilisha maoni ya kambi ya upinzani leo lengo lilikuwa si kushauri bali kutafuta sifa.
Anaongelea vinega jamani hao vinega hata leo mseme show bure watu hawataingia hawana mvuto
Huyo jaydee na prof jay ndio wameloweka jay dee akumbuke dhambi aliyoifanya 2002 ndio inamtafuna mpaka sasa nyimbo zenyewe sasa kama kelele za kundi la nyuki wakiwa wanapita
mtoa mada inaonekana unatumiwa na maharamia wa sanaa nchini kwanza ulichoandika hakina kichwa wala miguu ulichoshika kwene hotuba ya sugu ni vinega tu basi kasome tena hotuba yake vizuri naamini utamwelewa
Huyu mbunge wa mbeya jaman hamna kitu kichwani kweli nimeamini kama usipoenda shule na ukawa unatumia majani utakuuwa na matatizo kidogo sasa katika kuwakilisha maoni ya kambi ya upinzani leo lengo lilikuwa si kushauri bali kutafuta sifa.
Anaongelea vinega jamani hao vinega hata leo mseme show bure watu hawataingia hawana mvuto
Huyo jaydee na prof jay ndio wameloweka jay dee akumbuke dhambi aliyoifanya 2002 ndio inamtafuna mpaka sasa nyimbo zenyewe sasa kama kelele za kundi la nyuki wakiwa wanapita
Waliomchagua wamekula garasha katiba iwwke masharti ya ubunge kuppimwa akili then bangi
Huyu mbunge wa mbeya jaman hamna kitu kichwani kweli nimeamini kama usipoenda shule na ukawa unatumia majani utakuuwa na matatizo kidogo sasa katika kuwakilisha maoni ya kambi ya upinzani leo lengo lilikuwa si kushauri bali kutafuta sifa.
Anaongelea vinega jamani hao vinega hata leo mseme show bure watu hawataingia hawana mvuto
Huyo jaydee na prof jay ndio wameloweka jay dee akumbuke dhambi aliyoifanya 2002 ndio inamtafuna mpaka sasa nyimbo zenyewe sasa kama kelele za kundi la nyuki wakiwa wanapita
Mkuu Steveachi nakubaliana nawe 100%.
Sugu huwa simwelewi bungeni anawakilisha jimbo lake au anawakilisha bongo fleva.

Kama humuelewi ujue hakuhusu endelea kufuatilia wanaokuhusu
Yani huyu ndiyo msomi anayemkosoa mwenzanke hana kitu kichwani!! makubwa haya nipeni miwani ya kukaguwa ubongo wake.Huyu mbunge wa mbeya jaman hamna kitu kichwani kweli nimeamini kama usipoenda shule na ukawa unatumia majani utakuuwa na matatizo kidogo sasa katika kuwakilisha maoni ya kambi ya upinzani leo lengo lilikuwa si kushauri bali kutafuta sifa.
Anaongelea vinega jamani hao vinega hata leo mseme show bure watu hawataingia hawana mvuto
Huyo jaydee na prof jay ndio wameloweka jay dee akumbuke dhambi aliyoifanya 2002 ndio inamtafuna mpaka sasa nyimbo zenyewe sasa kama kelele za kundi la nyuki wakiwa wanapita
duuuh,sasa hapa sijajua nani amesoma na nani hajasoma,anayejiona amesoma haeleweki,arguements haziendani na kichwa cha thread,sasa hapa sijui nani anatafuta sifa.Ushauri wangu ningeomba urudie ukasome tena ile hotuba hasa hicho kipengele halagu urudi tena.
acha kuandika upuuzi,we unadhan masters ndo kitu gani?nn tofauti ya nchimbi na lukuvi au unadhan ukipata elimu ndo unaweza kutetea wananchi.Mbona mnyika hata kidegree kimoja hana lakini anaongea point?nina mashaka na vyeti vyakoUbunge uanzie masterz mkuu hawa vilaza wanaokula majani asubuhi asubuhi ni tatizo sana watu wanakula supu yeye majani sasahivi atamtumia jay dee kutafuta sifa wakati mbeya matatizo lukuki
duuuh,sasa hapa sijajua nani amesoma na nani hajasoma,anayejiona amesoma haeleweki,arguements haziendani na kichwa cha thread,sasa hapa sijui nani anatafuta sifa.Ushauri wangu ningeomba urudie ukasome tena ile hotuba hasa hicho kipengele halagu urudi tena.
Ubunge uanzie masterz mkuu hawa vilaza wanaokula majani asubuhi asubuhi ni tatizo sana watu wanakula supu yeye majani sasahivi atamtumia jay dee kutafuta sifa wakati mbeya matatizo lukuki
Sugu huwa simwelewi bungeni anawakilisha jimbo lake au anawakilisha bongo fleva.
Matola, Nashukuru umemjibu huyo mchangiaji wa hapo juu kwa niaba yangu. Hivi ni lazima kila mada wachangie? Sometimes ni busara kukaa kimya kuliko kuonesha ujinga wako hadharani.Wewe Kilaza sikiliza, hivi unajuwa Sugu ni waziri kivuri wa Wizara gani?
Unataka aongelee barabara kwenye mambo ya sanaa na utamaduni? hivi kwa nini watu wengine hamjaelimika pamoja na kupata fursa ya kutumia mitandao?
We Kilaza uwe unasoma mada kabla ya kuchangia.Ubunge uanzie masterz mkuu hawa vilaza wanaokula majani asubuhi asubuhi ni tatizo sana watu wanakula supu yeye majani sasahivi atamtumia jay dee kutafuta sifa wakati mbeya matatizo lukuki