Sugu kama sugu, weka ngoma zake kali unazozijua

Sugu kama sugu, weka ngoma zake kali unazozijua

Alikuwa wa kawaida sana ndio maana alikimbia

USSR
 
Nyimbo nyingi za zamani zilikuwa zenye ujumbe na maonyo Kwa jamii/Vijana , tofauti na nyimbo nyingi za sasa ni ngono na pombe 🙌

Miaka ya 90 Vijana wengi walihamasika kwenda nje kutafuta maisha

Wakati Vijana wa sasa wamegeukia Uchawa na kugeuzwa Wanawake tu 🙌
 
Back
Top Bottom