Nyimbo nyingi za zamani zilikuwa zenye ujumbe na maonyo Kwa jamii/Vijana , tofauti na nyimbo nyingi za sasa ni ngono na pombe 🙌
Miaka ya 90 Vijana wengi walihamasika kwenda nje kutafuta maisha
Wakati Vijana wa sasa wamegeukia Uchawa na kugeuzwa Wanawake tu 🙌