Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,935
Naona tunajifunza kwa kasi kutoka #Kenya[emoji1254][emoji1241]

#BURUDANI Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Mr II Sugu @therealjongwe ametamba kuwa msanii kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni Bilonea.

Sugu ameshea ujumbe huu kwenye Twitter ukieleza "Msanii wa kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni Bilionea. Believe That".

1666442509591.png

#EastAfricaTV

Nimi maoni yako?
 
Sugu hela inampeleka puta sana, kwa ukongwe wake hakupaswa ku behave namna hio. Mwana FA ana mzigo, AY nae ana mzigo pia.
Lady Jaydee nae zipo zipo sio haba. Wako kimya sana kuhusu hela zao.

Dogo Platinumz ndio funga kazi yani. Nafikiri hata Sugu hajamkuta bado.
 
Back
Top Bottom