sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Usirudie kumuweka Diamond level za awa wanaojitafuta uzeeni.Sugu hela inampeleka puta sana, kwa ukongwe wake hakupaswa ku behave namna hio. Mwana FA ana mzigo, AY nae ana mzigo pia.
Lady Jaydee nae zipo zipo sio haba. Wako kimya sana kuhusu hela zao.
Dogo Platinumz ndio funga kazi yani. Nafikiri hata Sugu hajamkuta bado.
Escalade moja ya Diamond inajenga hotel mbili kama hiyo inayomuweka Sugu mjini.