Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
Pole sana unaonekana una wivu balaaSugu hajaonyesha njia mtu yoyote yeye ndio alikuwa anaonyeshwa njia akati anakuja mjini, wakati wake wa kuimba ulishapita hana jipya tena aendelee kuvizia kurudi bungeni.