No hard feeling ila km sugu ni billionaire then utajiri wake unaligana na Gari ya Mondi...nway kongole kwake, ametuonesha njia vijana wengine.Sahihi kabisa ila #Diamond sio Mwanasiasa, ingawa ni vema nao wakaanzisha trend ya ukweli kama wasanii wengine wa huko Duniani!
Huku nje akipiga mishe zake na bungeni akipiga mishe za bungeni hujui kwamba ubilionea unaongezeka au bungeni unazoa taka nakuchafuka hakuna kitu alichopata?Kama bilionea bungeni anafata nini?
Kwani bunge letu halitaki mabillionea linataka makapuku tu?Kama bilionea bungeni anafata nini?
“Wivu hukaa kifuani mwa mtu mjinga”No hard feeling ila km sugu ni billionaire then utajiri wake unaligana na Gari ya Mondi...nway kongole kwake, ametuonesha njia vijana wengine.
Sick mind … bungeni unatafutwa ubilionea au kuhudumu wananchi?Kama bilionea bungeni anafata nini?
Hapa lazima ajibu mapigoAnazidi kumtia Faiza wehuu
Amesema;Diamond njoo huku ujibu tuhuma
Una akili mgando sana Shabiby na abood bungeni wamefuata nnKama bilionea bungeni anafata nini?
aka JONGWE.SUGU