Sugu: Kutoka Ndoto ya kuwa Padri hadi Muziki na baade Ubunge

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
sugu.jpg
Katika kitabu chake cha SUGU THE AUTOBIOGRAPHY -MAISHA NA MZIKI (FROM THE STREET TO THE PARLIAMENT) Sugu anasema

""Nakumbuka katika kipindi hicho nilikuwa karibu sana na kanisa, nilikuwa mmoja wa wahudumu waandamizi wa kanisa kuu la Watakatifu wotela mjini Mtwara, kanisa ambalo ndipo nilipobatizwa… nilitumia muda mwingi wa ziada baada na pengine hata kabla ya kwenda shule kuwapo katika kanisa hili, kila siku ilikuwa ni lazima niende nikahudumie katika misa ya saa kumi na mbili asubuhi kwanza ndipo niende shuleni

Nililipenda sana kanisa na pia Imani yangu yangu ya ukatoliki, kiasi nikawa na ndoto kwamba siku moja niwe sio tu Padri bali bali Askofu kabisa! Nakumbuka nilivutiwa sana na Paroko wa kanisa hilo ambalo Mtwara linajulikana kwa ufupi kama kanisa la Parish, Father Gallus Chilamula, Pia nilivutiwa na askofu wa jimbo la Mtwara wakati huo marehemu marehemu baba askofu Maurus Libaba

Ndoto ya kuwa Padri zilianza kutoweka na hatimaye kupotea kabisa baada ya kuhamishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam kwa mama na baba yangu kusoma hiyo ikuwa mwaka 1984 mwishoni nikiwa darasa la nne kuingia la Tano."""
 
huku alipo sasa ndo kuna mfaaaa!!!

Mtoto umuleavyo..... Pengine kwa wakati ule kama angeendelea kukaa Mtwara leo hii pengine angekuwa madhabahuni lakini baada ya kuhamia dar akakutana na mazingira tofauti kabisa na ya Mtwara
 
Daah Sugu umenikumbusha Father Chilamula mpaka sasa bado ni paroko wa Parish though kazeeka.

Ila si alirudi tena mtwara kumalizia form 3&4 pale Sabasaba secondary, why asingeendelea na utumishi lol!..
 
"the church is conservative and morally corrupt" King Henry Vll
 
Daah Sugu umenikumbusha Father Chilamula mpaka sasa bado ni paroko wa Parish though kazeeka.

Ila si alirudi tena mtwara kumalizia form 3&4 pale Sabasaba secondary, why asingeendelea na utumishi lol!..

daaah toka miaka ya 80 hadi leo bado Paroko tena wa parokia ile ile!! hongera zake Paroko Chilamula.
Sugu kweli aliludi tena Mtwara Sabasaba Sec Akitokea Mbeya day baada ya misuko suko iliyopelekea hadi kufukuzwa shule bahati nzuri alikataa rufaa akashinda ndipo akarudi shule na naada kuona uhasama na walimu wa Mbeya day umekuwa mkubwa ndipo akahamia Sabasaba
Ilikuwa ni ngumu kwa yeye kuendelea na utumishi kwa sababu Anasema kipindi wakiwa Mbeya day yeye na tafiki zake wawili Gibbo na Bonny ndipo walikuwa wahuni sana kipindi hicho ndo walikuwa watu wa totoz kwa sana Pombe, Clubs na ndo kipindi alipoonja Ganja
 
Owkey,

Yeah father chilamula bado yupo na ni paroko hadi leo ila askofu ndio kabadilika sasa ni Mmole.
 
Daah Sugu umenikumbusha Father Chilamula mpaka sasa bado ni paroko wa Parish though kazeeka.

Ila si alirudi tena mtwara kumalizia form 3&4 pale Sabasaba secondary, why asingeendelea na utumishi lol!..

Father chilamula hata mie namkumbuka sana aisee
 
View attachment 157613
Katika kitabu chake cha SUGU THE AUTOBIOGRAPHY -MAISHA NA MZIKI (FROM THE STREET TO THE PARLIAMENT) Sugu anasema

""Nakumbuka katika kipindi hicho nilikuwa karibu sana na kanisa, nilikuwa mmoja wa wahudumu waandamizi wa kanisa kuu la Watakatifu wotela mjini Mtwara, kanisa ambalo ndipo nilipobatizwa… nilitumia muda mwingi wa ziada baada na pengine hata kabla ya kwenda shule kuwapo katika kanisa hili, kila siku ilikuwa ni lazima niende nikahudumie katika misa ya saa kumi na mbili asubuhi kwanza ndipo niende shuleni

Nililipenda sana kanisa na pia Imani yangu yangu ya ukatoliki, kiasi nikawa na ndoto kwamba siku moja niwe sio tu Padri bali bali Askofu kabisa! Nakumbuka nilivutiwa sana na Paroko wa kanisa hilo ambalo Mtwara linajulikana kwa ufupi kama kanisa la Parish, Father Gallus Chilamula, Pia nilivutiwa na askofu wa jimbo la Mtwara wakati huo marehemu marehemu baba askofu Maurus Libaba

Ndoto ya kuwa Padri zilianza kutoweka na hatimaye kupotea kabisa baada ya kuhamishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam kwa mama na baba yangu kusoma hiyo ikuwa mwaka 1984 mwishoni nikiwa darasa la nne kuingia la Tano."""
Hiyo haikuwa ndoto bali ni matamanio kama matamanio mengine..
 
Back
Top Bottom