Sugu kweli alikuwa noma

Sugu kweli alikuwa noma

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Nimesikiliza wimbo wake radio one NIKO MAKINI NA FANI,umenikumbusha mbali. Huyu jamaa alikuwa mzuri kwenye mashairi aisee!
 
Tatizo umeanza kumpenda baada ya kuwepo chadema.
 
Wabongo bana.Thread inajitosheleza wewe unaanzisha nyingine.Chadema wametoka wapi tena! Kumbe hata wewe ni GREAT THINKER! congats...

Kweli JF ni zaidi ya social netiweki...
 
inaonekana wewe ni wa 90's.

aisee,umeniquote vibaya! Kumbumka enzi zile wanaimba huu mziki ulikuwa unachukuliwa kuwa ni wa wahuni. Huko kwetu kijijini ukipigwa kwenye mkulima station inabadilishwa. Kuzisikia nyimbo zao ni mpaka unavyofika mjini kwa safari ya kwenda shule.
 
Tatizo umeanza kumpenda baada ya kuwepo chadema.

acha oral diarhoea. Sugu nyimbo zake nimezijua toka siku nyingi. Nimekwambia umenikumbusha mbali,mbona huelewi?
 
aisee,umeniquote vibaya! Kumbumka enzi zile wanaimba huu mziki ulikuwa unachukuliwa kuwa ni wa wahuni. Huko kwetu kijijini ukipigwa kwenye mkulima station inabadilishwa. Kuzisikia nyimbo zao ni mpaka unavyofika mjini kwa safari ya kwenda shule.

mkuu unatokea kijiji gani?
 
Sio tatizo lake,ameanza kufuatilia baada ya jamaa kuchukua ubunge.
 
aisee,umeniquote vibaya! Kumbumka enzi zile wanaimba huu mziki ulikuwa unachukuliwa kuwa ni wa wahuni. Huko kwetu kijijini ukipigwa kwenye mkulima station inabadilishwa. Kuzisikia nyimbo zao ni mpaka unavyofika mjini kwa safari ya kwenda shule.

haukua wa kihun,ndo maana radio one ndo ilikua ya 1 kucheza hewani miaka hyohyo ya 90
 
kwangu ni mtunzi mzuri, ila kutambaa na biti???? Nop!
 
haukua wa kihun,ndo maana radio one ndo ilikua ya 1 kucheza hewani miaka hyohyo ya 90

siyo kwamba ulikuwa wa kihuni ila ni wazee wetu walivyouchukulia. Ndo maana ulikuwa ukikutwa unasikiliza muziki wa bongo flava radio inazimwa.
 
Nimesikiliza wimbo wake radio one NIKO MAKINI NA FANI,umenikumbusha mbali. Huyu jamaa alikuwa mzuri kwenye mashairi aisee!

"kama nipo makini ni kwanini usiniamini, niamini kwa kila kilicho chako...niamini hata kwa demu wako...." huyo ndiyo Sugu
 
mkongwe toka miaka ileeee ya saba saba secondary mtwara
 
...Nimesimama.."
... Ni mimi."
sijui nitazipata vipi hizi nyimbo.. Sugu kama upo humu tuandalie kuanzia album ya kwanza tutanunua kwa gharama yeyote..
 
Back
Top Bottom