Sugu (Mbunge): Aliyesema watu wataikimbia Dar, ameikimbia yeye

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Mbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:

Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..

Je, kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
 
Mbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:

Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..

Je kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
Kuna baadhi ya maneno hayahitaji picha

Jr[emoji769]
 
,[emoji23][emoji116]
tapatalk_1589200855995.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah Sugu moto chini aaarh Sugu moto Juu...

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]Ni moto chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...
 
Mbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:

Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..

Je kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
😆😆😆😆
 
Mnaosema jiwe kakimbia kwan na nyie mmenyimiwa kukimbia? na mbna yupo tanzania hii hii kama mnataka na nyie hamieni chato kama vp
 
Amalizie tu siku alizobakiza arudi kwenye muziki. Maana hata biashara ya hotel imemshinda. Siku hizi hapost tena. Wamejaa popo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaosema jiwe kakimbia kwan na nyie mmenyimiwa kukimbia? na mbna yupo tanzania hii hii kama mnataka na nyie hamieni chato kama vp
😂😂😂😂😂😂Makavu live😂😂😂muwe mnavumilia tu ukweli😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom