Sugu (Mbunge): Aliyesema watu wataikimbia Dar, ameikimbia yeye

Sugu (Mbunge): Aliyesema watu wataikimbia Dar, ameikimbia yeye

😂😂😂😂😂😂Makavu live😂😂😂muwe mnavumilia tu ukweli😂😂😂😂

Sasa tuvumilie nn wakati mnafanya tuonekane kama hili taifa watu wote mapunguani! unavosema amekimbia kaenda nje ya dunia ama?

Watu wa Chato kwan hawaijui corona? hata angeenda nchi za nje corona bado ipo sasa mantiki yenu kwamba kakimbia mnasababisha tuonekane kama kila mtu akili hana
 
😂😂😂😂😂😂Makavu live😂😂😂muwe mnavumilia tu ukweli😂😂😂😂

infact mnatia hasira sana yaani natamani ata NCCR wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani
 
Mbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:

Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..

Je kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
Na mbeya ataikimbia muda si mrefu! Wanambeya wengi sana wamemchoka. Ni wapambe wake wachache ndio wako nao ingawa wanaujia ukweli jamaa anapigwa chini ucjaguzi mkuu. Wanambeya wataongea boksi la kura kwa kusema NO SUGU..
 
Hakuna cha kumkaribisha Nnape ikulu wala "Lostam"

Ikulu no more Juice😀😀😀
 
infact mnatia hasira sana yaani natamani ata NCCR wachukue nafasi ya chama kikuu cha upinzani
Hata hivo ndo mpango wa CCM kuwa chama kikuu Cha upinzani kiwe NCCR, ngona tuone Kama Mtafanikiwa maana kwenye vikao vyenu mmeshapanga wabunge kwa kila Jimbo Huku mkihitaji pandikizi lenu Mbatia ndo awe KUB
 
Mbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:

Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..

Je, kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
We nawe sijui umeaandika nini sasa.
Sugu haishi Dar ,makazi yake siku zote ni Mbeya. Sasa hii kusema ameikimbia Dar unaitoa wapi?

Na ukiangalia ukweli ni kuwa watu sasa wanakimbilia mikoani ,wanajifanya wanaenda likizo. Kwa hilo Sugu alikuwa sahihi.

TUPENDE KUANDIKA UKWELI NA SIYO UHARO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mbeya ataikimbia muda si mrefu! Wanambeya wengi sana wamemchoka. Ni wapambe wake wachache ndio wako nao ingawa wanaujia ukweli jamaa anapigwa chini ucjaguzi mkuu. Wanambeya wataongea boksi la kura kwa kusema NO SUGU..
Mi sishabikii vyama lakini nyie mnaotunga mambo ndo mnaharibu.
Sugu Mbeya anakubalika karibu na kila mtu hadi wapinzani wake. Acha visiasa hivyo'"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivo ndo mpango wa CCM kuwa chama kikuu Cha upinzani kiwe NCCR, ngona tuone Kama Mtafanikiwa maana kwenye vikao vyenu mmeshapanga wabunge kwa kila Jimbo Huku mkihitaji pandikizi lenu Mbatia ndo awe KUB

Kwa kwel tutafurahi sana kupata chama cha upinzani ambacho kinabisha kwa hoja za msingi ambazo mwenyewe ukiskiliza unasema kweli hii hoja ina mashiko! Si unaona hata mbtia mwenyewe bungeni anavochangia kwa hoja nzito hata ikiwa vurugu kweli we mwenyewe unaona kabisa hapa jamaa ameongea point nzito sasa cdm hata kuielezea ni kichefuchefu
 
Back
Top Bottom