Kuna baadhi ya maneno hayahitaji pichaMbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:
Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..
Je kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
[emoji23]Mgonjwa wa kwanza tu jamaa kakimbia sasa sijui itakuwaje na hivyo corona ameshanunua kiwanja ameanza kujenga msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππMbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:
Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..
Je kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge anamzungumzia Nani ambaye ameikimbia Dar?
Anakaa Mbeya tena tupo nae kitaaPale mbunge wa Mbeya mjini anapo ona ufahari kukaa Dar kuliko Mbeya mjini. Wananchi wa Mbeya mjini mna ziona fikra za Mbunge wenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha sugu anaishi Dar? wewe ni mzushi; Sugu makazi yake ni Mbeya..Pale mbunge wa Mbeya mjini anapo ona ufahari kukaa Dar kuliko Mbeya mjini. Wananchi wa Mbeya mjini mna ziona fikra za Mbunge wenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tufanyeje sasaAmalizie tu siku alizobakiza arudi kwenye muziki. Maana hata biashara ya hotel imemshinda. Siku hizi hapost tena. Wamejaa popo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππMakavu liveπππmuwe mnavumilia tu ukweliππππMnaosema jiwe kakimbia kwan na nyie mmenyimiwa kukimbia? na mbna yupo tanzania hii hii kama mnataka na nyie hamieni chato kama vp