Sugu na Mbowe ni Mabilionaire?

Sugu na Mbowe ni Mabilionaire?

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA.

Pili, wafuasi wa chadema wanaaminisha wanachama wao kuwa hii nchi ina matatizo lukuki hivyo wanachi wake ni maskini shauri ya serikali ya CCM.

Tunaombeni mtumpatia taarifa za hawa mabilionaire wenu walaifanikiwa na kuwa mabilionaire kutoka nchi gani ?

Mwisho, niwaombeni muwafundishi wanachama wenu umuhimu wa kujitambua na kufanya kazi na si kupiga makelele kwa kuvizia matukio
 
Soma list ya matajiri wa Bongo utamuona Mbowe ila Sugu hayumo
Iko website gani hiyo list!?.., wana uwezo kifedha ila hamjui maana ya neno billionaire. Ni kama mtu anayeita mji wa Mbeya JIJI, anakuwa hajui maana ya Jiji. Au hajawahi ona JIJI.
NB: Ma billionaire wote ni matajiri ila sio matajiri wote ni ma billionaire.
 
Sugu hajafika hatua ya kuitwa bilionea lakini Mbowe inawezekana maana katokea familia yenye ukwasi na pia hawa wanasiasa wa Afrika wana kawaida ya kuficha mali zao, ndio maana ni mara chache sana unaowaona kwenye list ya matajiri. Akiwa madarakani ataficha mali kwa sababu inawezekana zikawa za kifosadi na akiwa upinzani ataficha mali kuogopa kufirisiwa na serikali kama akipishana nayo kwenye masuala ya kisiasa. Hapa Afika tajiri namba 1 ni Dangote(naskia kashushwa sasa hivi) lakini za chini ya kapeti zinasema Kagame ndie mtu tajiri zaidi Afrika
 
Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA,
Pili ,wafuasi wa chadema wanaaminisha wanachama wao kuwa hii nchi ina matatizo lukuki hivyo wanachi wake ni maskini shauri ya serikali ya CCM.

Tunaombeni mtumpatia taarifa za hawa mabilionaire wenu walaifanikiwa na kuwa mabilionaire kutoka nchi gani ?

Mwisho ,niwaombeni muwafundishi wanachama wenu umemuhi wa kujitambua na kufanya kazi na si kupiga makelele kwa kuvizia matukio
Unataka wakuajiri uwe unafua nguo za wateja wao?
 
Back
Top Bottom