John Creasy
Senior Member
- Jul 27, 2023
- 176
- 298
Na Mo Dewji kada mwenzako!Muulize na Rostam Aziz swali hilo hilo 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mo Dewji kada mwenzako!Muulize na Rostam Aziz swali hilo hilo 😂😂
Watekaji waliogopa wakamtupa Gymkhana 😂Na Mo Dewji kada mwenzako!
Yeya hakuwa kusema kuwa nchi yetu pendwa haifai ila hawa wenzetu kutwa kulalamika ,mwingine alienda hadi CANADA na amerejea anatafuta ugali wake hapa hapaMuulize na Rostam Aziz swali hilo hilo 😂😂
Ndio maana JK alisema akili za kuambiwa changanya na za kwako.Na pesa zote hizo wanazosifiwa kujenga ofic ya chama kumewashinda wataweza kujenga nchi kweli?
Kumbe nawe ni mateka wa huo ujinga kuwa ni mabilionaire?Unataka wakuajiri uwe unafua nguo za wateja wao?
Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA,
Pili ,wafuasi wa chadema wanaaminisha wanachama wao kuwa hii nchi ina matatizo lukuki hivyo wanachi wake ni maskini shauri ya serikali ya CCM.
Tunaombeni mtumpatia taarifa za hawa mabilionaire wenu walaifanikiwa na kuwa mabilionaire kutoka nchi gani ?
Mwisho ,niwaombeni muwafundishi wanachama wenu umemuhi wa kujitambua na kufanya kazi na si kupiga makelele kwa kuvizia matukio
Sugu hajafika hatua ya kuitwa bilionea lakini Mbowe inawezekana maana katokea familia yenye ukwasi na pia hawa wanasiasa wa Afrika wana kawaida ya kuficha mali zao, ndio maana ni mara chache sana unaowaona kwenye list ya matajiri. Akiwa madarakani ataficha mali kwa sababu inawezekana zikawa za kifosadi na akiwa upinzani ataficha mali kuogopa kufirisiwa na serikali kama akipishana nayo kwenye masuala ya kisiasa. Hapa Afika tajiri namba 1 ni Dangote(naskia kashushwa sasa hivi) lakini za chini ya kapeti zinasema Kagame ndie mtu tajiri zaidi Afrika
Ubilionea unaanzia kichwani mwako.Kwa mfano,wewe ni trilionea wa majungu.😂Kumbe nawe ni mateka wa huo ujinga kuwa ni mabilionaire?
😄 🤣 I wish ningekuwa mhasibu wakeEmbu tuletee kiasi anacholipa kodi kwa mwaka?
Hakuan kitu Mangi,Mzee Mbowe ni mwaka jana ndio alijenga nyumba yake kijijini bado alikuwa anaishi nyumba ya ukoo🙆♂️🙆♂️Hivi na akili yako kwa mambo aliyofanyiwa Mbowe na famila ya ukoo wao yaani familia ya baba yake hawataweza kuweka pesa zote nchini. Familai ya Mbowe's ambayo sio Freeman pekee bali familia ya baba yake na urithi walioachiwa nyumba, biashara ..... ni zaidi ya $50M. Baada ya Magu kuingia kampuni za Freeman alihamishia makao makuu Dubai kama alivyofanya Mo na Kusaga wa Cloud Media. Hivyo serikali haitaweza ku freeze pesa zao kwasababu ya siasa. Hata hao wote wanapesa za uendeshaji lakini account kubwa zipo Dubai ni siwashangai kwa mazingira ya ajabu tulionayo kwa sasa. Serikali badala ya kuangalia biashara walianza kunyanyasa famila tajiri yaani watu kama wakina Mo au Mbowe wanaambiwa waelezee pesa ambazo hizo familia wamekua kwenye biashara na uwekezaji zaidi ya miaka 40!
Angekulipa na nini au umesahahu kuwa alishindwa kulipa mishara wafanyakazi wa gazeti la tanzania daima?😄 🤣 I wish ningekuwa mhasibu wake
Misukule ya mzee Mbowe mna shidaUbilionea unaanzia kichwani mwako.Kwa mfano,wewe ni trilionea wa majungu.😂
Mangi acha kabisa ,huyu mzee hadi juzi jusi tu alikuwa anaishi nyumba ya ukooMbowe kweli pesa ipo. Katoka familia tajiri mno na baba mkwe wake naye sio mchezo. Mbowe kwenye hela habahatishi. Sugu kama msanii lazima ajikweze ila naye sio mchezo. Uwekezaji aliofanya Desderia ni hatari.
Ili uitwe Milionea utajiri wako usipungue bilioni 1.Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA,
Pili ,wafuasi wa chadema wanaaminisha wanachama wao kuwa hii nchi ina matatizo lukuki hivyo wanachi wake ni maskini shauri ya serikali ya CCM.
Tunaombeni mtumpatia taarifa za hawa mabilionaire wenu walaifanikiwa na kuwa mabilionaire kutoka nchi gani ?
Mwisho ,niwaombeni muwafundishi wanachama wenu umemuhi wa kujitambua na kufanya kazi na si kupiga makelele kwa kuvizia matukio
Hayati Aikaeli sio poa. Kwenye msiba wake nilikuwa mdogo nakumbuka nilikunywa soda 7. Msiba wake ulikuwa kama sherehe.Mangi acha kabisa ,huyu mzee hadi juzi jusi tu alikuwa anaishi nyumba ya ukoo
Acha hadaa ,taarifa za ulipaji kodi zinaonyesha tofauti au wanapika mahesabu?Ili uitwe Milionea utajiri wako usipungue bilioni 1.
Ili uitwe bilionea utajiri wako usipungue trilioni 1.
Sasa je Sugu na Mbowe Wana utajiri wa trilioni angalau 1?.
Soma tena nilichokiandika.Acha hadaa ,taarifa za ulipaji kodi zinaonyesha tofauti au wanapika mahesabu?
Matajiri wengi kila senti wanataka waihodhi tuAngekulipa na nini au umesahahu kuwa alishindwa kulipa mishara wafanyakazi wa gazeti la tanzania daima?
Hata Kikwete, Abdul pia. Dubai, SA na Marekani.Mbowe na Sugu Wana makazi ya kudumu Marekani 😃😃