Ndo sifa ya kuwa billionaire!?, kwahiyo na Mange Kimambi naye billionaire!?😂😂Mbowe na Sugu Wana makazi ya kudumu Marekani 😃😃
Iko website gani hiyo list!?.., wana uwezo kifedha ila hamjui maana ya neno billionaire. Ni kama mtu anayeita mji wa Mbeya JIJI, anakuwa hajui maana ya Jiji. Au hajawahi ona JIJI.Soma list ya matajiri wa Bongo utamuona Mbowe ila Sugu hayumo
Wewe humpati bwashee 😄😄Ndo sifa ya kuwa billionaire!?, kwahiyo na Mange Kimambi naye billionaire!?😂😂
Mbona bado wanatafuta mkate hapa hapa Bongo?Mbowe na Sugu Wana makazi ya kudumu Marekani 😃😃
Kumbe inawezekana kutoba hapa nchini siyo?Ina semekana wapo vizuri kiuchumi.
Embu tuletee kiasi anacholipa kodi kwa mwaka?Soma list ya matajiri wa Bongo utamuona Mbowe ila Sugu hayumo
Unataka wakuajiri uwe unafua nguo za wateja wao?Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA,
Pili ,wafuasi wa chadema wanaaminisha wanachama wao kuwa hii nchi ina matatizo lukuki hivyo wanachi wake ni maskini shauri ya serikali ya CCM.
Tunaombeni mtumpatia taarifa za hawa mabilionaire wenu walaifanikiwa na kuwa mabilionaire kutoka nchi gani ?
Mwisho ,niwaombeni muwafundishi wanachama wenu umemuhi wa kujitambua na kufanya kazi na si kupiga makelele kwa kuvizia matukio
Haya ni maneno toka misukule ya mzee mboweAbdul ni billionaire ndani ya muda mfupi sana.
Muulize na Rostam Aziz swali hilo hilo 😂😂Mbona bado wanatafuta mkate hapa hapa Bongo?
Inawezekana kabisa watu wanatoboa hapa hapa.Kumbe inawezekana kutoba hapa nchini siyo?
Ukwasi wake hauwezi kupungua billion moja za kitanzanania kwa hiyo ni sahihi kumuita billionaireMbowe ana pesa ndefu ila sijui kama amefikia hadhi ya kutambulika kama Billionaire, sugu siyo Billionaire