Sugu na Mbowe ni Mabilionaire?



Hivi na akili yako kwa mambo aliyofanyiwa Mbowe na famila ya ukoo wao yaani familia ya baba yake hawataweza kuweka pesa zote nchini. Familai ya Mbowe's ambayo sio Freeman pekee bali familia ya baba yake na urithi walioachiwa nyumba, biashara ..... ni zaidi ya $50M. Baada ya Magu kuingia kampuni za Freeman alihamishia makao makuu Dubai kama alivyofanya Mo na Kusaga wa Cloud Media. Hivyo serikali haitaweza ku freeze pesa zao kwasababu ya siasa. Hata hao wote wanapesa za uendeshaji lakini account kubwa zipo Dubai ni siwashangai kwa mazingira ya ajabu tulionayo kwa sasa. Serikali badala ya kuangalia biashara walianza kunyanyasa famila tajiri yaani watu kama wakina Mo au Mbowe wanaambiwa waelezee pesa ambazo hizo familia wamekua kwenye biashara na uwekezaji zaidi ya miaka 40!
 

Mbowe hajaficha iko wazi kampuni yake ya Mo na Cloud Media zipo HQ Dubai. Na familia ya baba yake wameweza na wana utajiri zaidi ya $50M na watu kwenye list za familia tajiri Tanzania. Lakini lazima tu tofautishe pesa ya familia na pesa yako, utajiri wa familia na utajiri wako. Pesa nyingi ni zimeachwa na Baba mzee Mbowe na zinaenda vizazi na vizazi na sio za Freeman zote
 
Mbowe kweli pesa ipo. Katoka familia tajiri mno na baba mkwe wake naye sio mchezo. Mbowe kwenye hela habahatishi. Sugu kama msanii lazima ajikweze ila naye sio mchezo. Uwekezaji aliofanya Desderia ni hatari.
 
Hakuan kitu Mangi,Mzee Mbowe ni mwaka jana ndio alijenga nyumba yake kijijini bado alikuwa anaishi nyumba ya ukooπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Mbowe kweli pesa ipo. Katoka familia tajiri mno na baba mkwe wake naye sio mchezo. Mbowe kwenye hela habahatishi. Sugu kama msanii lazima ajikweze ila naye sio mchezo. Uwekezaji aliofanya Desderia ni hatari.
Mangi acha kabisa ,huyu mzee hadi juzi jusi tu alikuwa anaishi nyumba ya ukoo
 
Ili uitwe Milionea utajiri wako usipungue bilioni 1.

Ili uitwe bilionea utajiri wako usipungue trilioni 1.

Sasa je Sugu na Mbowe Wana utajiri wa trilioni angalau 1?.
 
Ili uitwe Milionea utajiri wako usipungue bilioni 1.

Ili uitwe bilionea utajiri wako usipungue trilioni 1.

Sasa je Sugu na Mbowe Wana utajiri wa trilioni angalau 1?.
Acha hadaa ,taarifa za ulipaji kodi zinaonyesha tofauti au wanapika mahesabu?
 
Angekulipa na nini au umesahahu kuwa alishindwa kulipa mishara wafanyakazi wa gazeti la tanzania daima?
Matajiri wengi kila senti wanataka waihodhi tu
Warren Buffett anaishi kwenye nyumba yake alioishi kwa miaka 50 na hana makuu
Charities zake ni nyingi sana anazotoa
Na anawashauri wenye hela watoe sadaka
Sasa Mbowe ana zaidi ya $20m anashindwa kuwalipa mishahara tumuweke fungu gani huyu na bado anahangaika na ruzuku za chama
Basi data zake zimepikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…