McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Sugu ni mpiganaji kabla hata hajajua kama neno ubunge lina maana kwenye maisha yake,elimu yake ya mtaani inamtosha kuendelea kupambana mtaani sishangai watoto kama nyinyi mkianza ngonjera za kike maana ndio zenu.
Pambana mwanangu Sugu hata ubunge walisema hauwezi kupata leo unakimbiza awamu ya pili hii ndio dawa ya wenye chuki ni kuwaonyesha kwa vitendo.
Pambana mwanangu Sugu hata ubunge walisema hauwezi kupata leo unakimbiza awamu ya pili hii ndio dawa ya wenye chuki ni kuwaonyesha kwa vitendo.