McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Mikopo ya wabunge hutolewa kama political favors kwenye kamati wala haihusiani na collateralAliyeanzisha huu uzi hajui biashara ya Hotel ikoje.
Hakuna mtu anayeanzisha biashara ya Hotel kwa kuangalia eneo moja la kupata biashara na CRDB siyo wajinga kutoa mabilioni ya fedha kwa miradi isiyo na upembuzi yakinifu kuhusu masoko.
Huu uzi uzi dalili zote za wivu........
Mbunge anayekopa bill 10 ana vigezo gani kama siyo political favors.. Muulize mzindakaya kama alilipa mkopo wake wa bill 10. Magufuli mwwnyewe kaongea juzi wanasiasa wanakopa na hawarudishi.. Kuna mbunge moja arusha kakopa 12 bill na anapita kuomba asamehewe. We unafikiri mikopo ya wanasiasa ina pitia scrutiny kama mimi na wewe ukiwa mwana kamati fulani wa bunge mikopo njenje hata nssf unaenda unapewa tu billioni kadhaa.. So usiongelee vigezo vya mikopo ya benki hapa.Mkuu kama unajua sheria za mikopo wala usingeumiza kichwa chako kuandika yote hayo, ila kufupi jua tuu mtu huwezi kukopeshwa na taasisi yoyote kama huna kitu chenye dhamani ya hicho unachotaka kukopa, akishindwa kulipa watauza dhamana alizoweka,
Habari ya kwamba atafungwa sababu ya huo mkopo sahau,
Pia hujaweka ushahidi wa kama kweli kakopa na ni sh ngapi, kama ulivyoweka ushahidi wa huo ujenzi wa hotel unaoendelea.
Sasa bank wao ni wajinga wakupe mkopo ili hali hawajui kiwa unaweza kurudisha?Hivi unajua kuwa wanasiasa wanapewa mikopo kwa udhamini wa serikali tuu? Sasa jiulize serikali ikudhamini ili ikutumie vipi.. Mfano nimetoa wa mzindakaya akidhaminiwa na serikali 10 bil akaufyata.
Tatizo lako wewe, umeleta stori za mtaani hapa jukwaani bila kufikiria...Hivi unajua kuwa wanasiasa wanapewa mikopo kwa udhamini wa serikali tuu? Sasa jiulize serikali ikudhamini ili ikutumie vipi.. Mfano nimetoa wa mzindakaya akidhaminiwa na serikali 10 bil akaufyata.
Fimbo ya musa baba!,ulicho nacho ndio utajiri wako;Sugu ni mashine nyingine wewe!.Big up sugu kwa uthubutu.Sugu hana hela.. Mshahara wa ubunge anachukua laki tatu ukitoa madeni. Wenzie wana ma v8 yeye ana landcruiser la zamani alilopinduka nalo kitambo
Sugu hana hela.. Mshahara wa ubunge anachukua laki tatu ukitoa madeni. Wenzie wana ma v8 yeye ana landcruiser la zamani alilopinduka nalo kitambo
Mimi nimetoa angalizo ka kisiasa wew unataka details ambazo obvious unajua ni za siri kati yake na benki. Sijaongea for a certain bali nimechambua kisiasa mnakuja kutoa povu bila kushirikisha medula mnaleta mipasho sijui wivu wa kike.. Hata mimi nna project zangu ndo maana naongea kwa mtazamo wanguSasa bank wao ni wajinga wakupe mkopo ili hali hawajui kiwa unaweza kurudisha?
Pili, how sure are you kuwa Sugu alipewa mkopo na serikali?
Au ndo kaandika huko insta kwenu?
KICHWA CHA MAADA SI CHA KIUCHAMBUZI NI MIPASHO,DHARAU,WIVU NA KUOMBEA MTU MABAYA. sion ulichokiandika hapo unatupotezea muda.Kwanza ww huishi Mbeya,huwezi jua mipango yao.unakataa uchama wakati unaiongelea ccm kwan ccm ni SACCOS? OR KANISA?Nimetoa mada kama mchambuzi tu sasa wanazani mimi nimekuja na ajenda za chama hii ni warning kwa mwekezaji kama kuna namna atafute suluhu mapema kwa vyoyvyote vile ccm lazima itatumia deni hili kama fursa 2020 ukizingati unyeti wa jimbo la mbeya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani CRDB sio benk?Mbunge anayekopa bill 10 ana vigezo gani kama siyo political favors.. Muulize mzindakaya kama alilipa mkopo wake wa bill 10. Magufuli mwwnyewe kaongea juzi wanasiasa wanakopa na hawarudishi.. Kuna mbunge moja arusha kakopa 12 bill na anapita kuomba asamehewe. We unafikiri mikopo ya wanasiasa ina pitia scrutiny kama mimi na wewe ukiwa mwana kamati fulani wa bunge mikopo njenje hata nssf unaenda unapewa tu billioni kadhaa.. So usiongelee vigezo vya mikopo ya benki hapa.
tatizo ni hisia na ushabiki wa kisiasa, lakini nafikiri SUGU ni mfano wa mtu mmoja tu. lakini athari hizi zimewakumba watu wote. purchasing power imeshuka sana. lakini maisha yataendelea tu.Point ya mtoa mada haiko sawa kwa sababu yeye anasema Sugu kaingia chaka, biashara yake itafeli kwa sababu ni Chadema....na anatoa picha kuwa hoteli ya Mbowe imepigwa na itakufa sababu ni Chadema...za wana ccm na raia wa kigeni hazioni?
Kwa kweli purchasing power imeshuka na hali ni ngumu. Badala ya mleta mada kumkejeli na kumkatisha tamaa sugu angependekeza baadhi ya njia za kupambana na hali ngumu kama vile (i) kubadili mbinu za marketing na kufanya marketing na finishing ya jengo kwa mahitaji ya soko la sasa (ii) kupendekeza jinsi ya kuomba na kupata nafuu ya malipo na nafuu ya riba inayotokana na kubadilika kwa hali ya uchumi na biashara (iii) aina ya bima anazohitaji (iv) matumizi ya teknolojia zinazopunguza gharama za uendeshaji...tatizo ni hisia na ushabiki wa kisiasa, lakini nafikiri SUGU ni mfano wa mtu mmoja tu. lakini athari hizi zimewakumba watu wote. purchasing power imeshuka sana. lakini maisha yataendelea tu.
ni kweli hakuna mtu anapenda kubezwa kwakweli. tulishangilia sana watu walivyotumbuliwa leo hii athali za utumbuaji imekuwa mateso kwa kila mtu, hela imepotea biashara haziendi. najuliza yale mamilioni ya kodi hawatangazi tena. watu wanafunga maduka, na wengine wanaendelea kufungua biashara mpya.Kwa kweli purchasing power imeshuka na hali ni ngumu. Badala ya mleta mada kumkejeli na kumkatisha tamaa sugu angependekeza baadhi ya njia za kupambana na hali ngumu kama vile (i) kubadili mbinu za marketing na kufanya marketing na finishing ya jengo kwa mahitaji ya soko la sasa (ii) kupendekeza jinsi ya kuomba na kupata nafuu ya malipo na nafuu ya riba inayotokana na kubadilika kwa hali ya uchumi na biashara (iii) aina ya bima anazohitaji (iv) matumizi ya teknolojia zinazopunguza gharama za uendeshaji...
E.t.c
Hv unachotaka nini? Umeona sehemu nimeandika for a fact kwamba sugu atafilisika? Mimi nimetoa angalizo kuzingatia nafasi yake upande wa siasa na mkopo wake wa hoteli kwa lolote linaweza kutumika kujeopardize nafasi yake jimboni kama biashara isipolipa mkopo.. Kwani wewe hujui siasa kama ni mchezo mchafu na sometimes mambo kama madeni yanayumika kumwangusha mwanasiasa na kumfanya apotee kwenye siasa.. Nimetoa mfano wa john cheyo alikuwa mwanasiasa mahiri sana ila mkopo mdogo wa mill 250 ulimyumbisha kisiasa mpaka akajikuta anatumikia upande wa pili sasa msichoelewa nini na mnataka documents za benki sijui project appraisal mimi zinanihusu nini?Hahahaa! Mkuu mbona panic kubwaa!
Nijibu yale maswali yangu ndo uendele kutukana...
Wewe unatoa wapi confidence yakuja kundika humu kuwa sugu atashindwa kulipa mkopo wakati huju chochote kuhusu hiyo project..
Nadhani ni busara ukadodosa kuhusu hilo jambo uje na facts kuliko kufanya cyber bullying na namna hii?
Tuchukulie Id zetu zinatambulika huku JF, Sugu ana haki ya kuku-sue mahakamani kwa kumchafua na kudanganya umma kuhusu maisha yake binafsi ukizingatia nafasi aliyonayo kwenye jamii...
Kaa utafakari ulichokileta humu!